Mwanamke ananitaka kimapenzi

Mwanamke ananitaka kimapenzi

Hhhh et atalea yeye mzee kama ulikuwa upajui kwa afisa ustawi wa jamii utapajua maana KE wakizaa wanaona kama wame invest ni akili mtu wangu
Habari za jioni ndugu zangu.

Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.

Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁

Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.

Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
 
Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia[emoji16]

Uliona wapi ukimpa mimba mwanamke analea mwenyewe....... RUN
 
Huyu si mgeni humu. Hii ni
images%20(25).jpg
 
Habari za jioni ndugu zangu.

Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.

Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁

Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.

Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
Dah! Ukiwa mtoto raha sana! 😁😁 Yaani muda wote unawaza mambo ya raha raha tu. Ila ukikua sasa kama sisi baba zako, ndipo chamoto utakiona.

Huku ada, huku hela ya matumizi! Huku umetapeliwa! Huku unakoromewa na mkuu wako kazini! Huku kuna wagonjwa! Mara sijui mtoto wa shangazi anahitaji msaada! Hujakaa sawa Mwigulu kaongeza tozo!
 
Cop Man down man down
We need a back up
 
Habari za jioni ndugu zangu.

Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.

Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁

Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.

Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
yaani mtu amekusalimu tu anakwambia umzalie mtoto, nawe unakosa ujasiri wa kumkatalia uso kwa uso....watotowa kiume wa miaka hii mna matatizo gani? Homons zenu ziko sawa?
 
Habari za jioni ndugu zangu.

Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.

Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia[emoji16]

Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.

Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndo sababu ya kujoin jamiiforum leo).
Huyo mwanamke anawezaje ku take risk ya kuzaa na mwanaume hasiyejitambua ?
Bila shaka naye ni hamnazo.
 
Ushasema ni Muiraq... Hiyo sauti inayoishi ndani yako kwamba ANAKUPENDA uikemee haraka sana, na uishinde.... Sahau na endelea na maisha yako ndg yangu,.. 22yrs ni mapema sana.
 
Back
Top Bottom