Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Afadhali,basi acha tuwabake tu maana hamna kesi.
Lakini tafuta wakongwe tuliokubuhu na kushindikana kama sisi ukimvamia mtoto under 18 sheria ya mtoto ya mwaka 2009 itakukata kichwa
 
Lakini tafuta wakongwe tuliokubuhu na kushindikana kama sisi ukimvamia mtoto under 18 sheria ya mtoto ya mwaka 2009 itakukata kichwa
Sasa watoto tena hata huo mbako nitaufaidi kweli!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Latanua
goli kalipitisha makombola kibao ya Uturuki ,Russia , America hata Libya leo analalamika vibamia...

Upuuzi mtupu
 
The world is Not Fair.. kwann Hakufungwa Miaka 30?
 
Mkuu hata Mimi kuna beki 3 nilikua nalala nae akawa ananifanyia hivyo, afu kuna siku alitoka usiku alivyorudi akanifanyia tena ila k ikawa inatoa Maji Maji fulani, nilipokua mkubwa ndo nikajua alitoka kugon_wa na zile zilikua mbegu za kiume
 
Wee kweli Engeneer
 
Mwanamke anawezaje kumbaka mwanaume?

Nyenzo ya mwanaume itafanyaje kazi katika mazingira kama hayo ya kubakwa?
Kuna mahali nilisoma KOZI ya Forensic tukawa tunabishana kama hili jambo linawezekana au lah!....mwisho wa mada kila mtu bila kujali jinsia Tulikubaliana issue ya me kubakwa na KE inawezekana kabisa.
 
ulibakwa!
lkn that is child abuse!
ni immoral na sio issue ya kuichukulia poa!
you follow that person, trace tabia zake uone kina nani waliendelea kuwa victims! kama bado ni jirani yako tazama wanao aanwea kufanya lolote hata sasa!
 
Kuna mahali nilisoma KOZI ya Forensic tukawa tunabishana kama hili jambo linawezekana au lah!....mwisho wa mada kila mtu bila kujali jinsia Tulikubaliana issue ya me kubakwa na KE inawezekana kabisa.

Okay, huenda inawezekana. Hilo siwezi kulibishia sana maana halijawahi kunitokea.

Ila bado nina maswali kadha wa kadha ambayo kwa kutumia mantiki ya kawaida tu, uwezekano wa hilo tendo naona hauingii akilini kabisa.

Ili hilo tendo lifanikiwe, mwanaume ni lazima asimamishe uume wake.

Ni lazima kuwepo na utulivu wa akili/fikra na hisia.

Sasa katika hali kama ya kubakwa, mtu anawezaje kusimamisha?

Moja ya sababu za ED, kwa mfano, ni hofu, wasiwasi, na mazonge. Hayo mambo hupelekea mwanaume kushindwa kusimamisha uume wake na hivyo kushindwa kufanya tendo la ndoa.

Sasa pata picha kubakwa...mtu anakulazimisha kufanya hilo tendo kwa nguvu na pengine hata vitisho.

Inawezekanaje sasa katika mazingira kama hayo kwa mwanaume kusimamisha na kuweza kufanikisha hilo tendo?
 
hapa kidogo nmeelewa
kwahiyo kumbe alichanganyiwa.. hapo kweli alibakwa
 
Maskini kumbe ulibakwa, pole sana engineer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…