Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Ndio maana waarabu wataka wake zao wawe tu watu wa nyumbani kazi yao iwe kupigwa miti, kuzaa na kulea basi.
.
Sasa wake zetu nyie wa kibongo kutwa unawaza hela mara madeni vikoba au bank, sasa hizo hamu za kugongwa utatoa wapi? Ndio kama hivi inakuwa hadi siku maalumu.

Lakini kama ukawa mama wa nyumbani, kazi yako ni kupika, kula, kulala na kuangalia maswala mengine ya home tu nakwambia kila siku ungekuwa unataka maana mawazo na akili zime relax.

Yani me mke wangu sitaruhusu asiwe mtu wa purukushani kabisa sababu ya mambo kama haya.
Atagongwa mpaka na mifugo yako au wewe utakuwa unatumia aina zote za dawa za nguvu za kiume au labda uwe na mali za kutosha zinazokuingizia kipato wakati wote bila nguvu ili na ww akili iwaze ngono tu.
 
Badala ya sperms zina toka damu adi ana ishiwa damu na kufa



Ayo ni mawazo yangu ya K vant [emoji482]
how kivipi maana mwanaume ukisha fika mshindo na kama sperm hazipo tena kwa muda huo mzigo lazima ulale tu hii mnayosema hadi zinatoka damu badala ya sperm hii muhusika labda awe amemeza madawa au amelazimishwa kunywa madawa ya nguvu za kiume tena kupita kiwango chake ..
 
Niliwahi kusikia, mkoa flani kwenye shule ya bweni ya wasichana walimbaka mlinzi mpaka kufa.
Izo ni story si ni ile shuke ya kondoa galz.... Izo story wana simukianaa wenye ngunga wanapokutana wana shikana akili....
 
Mjadala mzito,mimi sijawahi kubarikiwa Kubakwa na Mwanamke wa Msichana.
 
Haiwezi kuingia kama haijasimama,ikisimama maanake ametamani na amependa
Wanaume tunasimamisha tukitoka kuamka tunakuwa tumependa nn?

Sa nyingine mashuleni vijana wanasimamisha kwa uoga wa mtiani tena mpaka anamwaga anakuwa amependa nn?

Kuna wakati nilikuwa na watu wa jeshi akaja mtu kakamatwa kaogopa hadi kasimamisha anakuwa kapenda nn?

Nyakati hizo zote akitolewa nguo mwanamke anajisevia bila shida. Hajabakwa?
 
Daaa natamani na mimi nibakwe na pisi flani hivi Kali aisee ili nipate experience inakuaje na hata sitapiga kelele na yowe za ajabu ajabu kuomba msaada maana chance zenyewe adimu sana halafu baada ya hapo hapo naruka kwa Uzi wa rikiboy

Nimekula na kuliwa kimasikhara
Itapendeza sana !

Nadanganya wadau!
 
Inakuaje sasa wakati wanaolewa wanakuwa modo. Wakifika tu ndani wanaanza kufutuka?

Alafu kadri anavyonenepa na uvivu nao vinaenda sambaba! Yani kukaa mwezi hajafua au kufanya usafi wa vyooni na mazingira yanayomzunguka haoni shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu hawabadiliki hata akizaa.
Mwingine anabadilika kidogo na mwingine anabadilika sana.

Point yangu ni kuwa haijalishi mke anafanya kazi ama anakaa tu home,kama ana asili ya unene atanenepa tu!,kama Hana asili ya unene basi atabaki hivyohivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo kabisa wakuu. Nimewahi lala na mwanamke mmoja sikuwa nampenda kivileee. Ikatokea akawa anataka tufanye tendo nikakataa. Basi usingizi mzito ukanipitia. Baada ya masaa kadhaa nikaanza kuota km niko nafanya tendo na mwanamke.

Baadae nikashituka usingizini nakuta yule mdada amenikalia kwa juu akiendelea kufanya. Nilikuwa km sjielewi elewi hivi!Nadhani alinichezea nikiwa nmesinzia hadi uume ukasimama.Haya mambo yapo sana hasa kwenye ndoa omba yasikukute.
So mkuu uliliwa kimasihara???
 
Ndio inafika wakati unaambiwa sijui homoni hazi balance.
Zita balance vipi wakati muda wote unawaza kama mwanamme!..
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa...umesema kweli mkuu...

Mgawanyo wa majukumu upo toka enzi Na enzi...lakini binadamu tunataka kushindana Na nature...


Matokeo ndio hayo...heshima hakuna..nyote mnakwenda kuhanjara ...angalia misingi ya familia inavyoporomoka ..malezi mema hakuna Na kizazi kinapotoka vibaya...
Mwangalizi Na mlezi ni bording na housegirl!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa...umesema kweli mkuu...

Mgawanyo wa majukumu upo toka enzi Na enzi...lakini binadamu tunataka kushindana Na nature...


Matokeo ndio hayo...heshima hakuna..nyote mnakwenda kuhanjara ...angalia misingi ya familia inavyoporomoka ..malezi mema hakuna Na kizazi kinapotoka vibaya...
Mwangalizi Na mlezi ni bording na housegirl!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Acha kabisa!

Imefika wakati baba na mama wote mko kitandani kila mmoja ameangalia juu anawaza mihangaiko yake ilivyooenda na kesho pia itakavyoenda.

Watoto wanajiendea tu kama vijibwaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kizazi cha miaka 20 ijayo kitakuwa cha hovyo sana
 
Acha kabisa!

Imefika wakati baba na mama wote mko kitandani kila mmoja ameangalia juu anawaza mihangaiko yake ilivyooenda na kesho pia itakavyoenda.

Watoto wanajiendea tu kama vijibwaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kizazi cha miaka 20 ijayo kitakuwa cha hovyo sana
Inatakiwa hata wazazi wasiweke bwebwe wakati wa tendo la ndoa Ponzi ni moja tuuu mungu ndio alilotujalia mapozi mengine ya kazi gani huko nikuchoshana tuu na ndio maana wanazariwa watoto waovyo kwer
 
Duh. Pole
Mi nipo direct mamii, namwambia kabisa mzee baba jiandae hapo weka akili sawa.
Akikataa nampa ngumi halafu ndo nalala
Nimemwambia baby hapa kuna mama ukimzingua kwenye haki yake anakupa ngumi,naye akasisitiza huku anacheka tena ngumi pumbu.Nimemwambia thubutu uone.
 
Inatakiwa hata wazazi wasiweke bwebwe wakati wa tendo la ndoa Ponzi ni moja tuuu mungu ndio alilotujalia mapozi mengine ya kazi gani huko nikuchoshana tuu na ndio maana wanazariwa watoto waovyo kwer
Pozi gan hilo? Na wap Mungu alisema kuwa hii ndio style ya kusex tu?
 
Back
Top Bottom