Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu utakuja kubadili tu gia angani, wananenepaga hao!Ndio maana waarabu wataka wake zao wawe tu watu wa nyumbani kazi yao iwe kupigwa miti, kuzaa na kulea basi.
.
Sasa wake zetu nyie wa kibongo kutwa unawaza hela mara madeni vikoba au bank, sasa hizo hamu za kugongwa utatoa wapi? Ndio kama hivi inakuwa hadi siku maalumu.
Lakini kama ukawa mama wa nyumbani, kazi yako ni kupika, kula, kulala na kuangalia maswala mengine ya home tu nakwambia kila siku ungekuwa unataka maana mawazo na akili zime relax.
Yani me mke wangu sitaruhusu asiwe mtu wa purukushani kabisa sababu ya mambo kama haya.
Nami nilianza nae kwa sera kama hizo, kwa kumfanya pambo la nyumba, kimbao mbao kama miss enzi hizo.
'Malezi ya upendeleo' yalivyomkolea kwa sasa hata mlangoni ni shida kupita na hata tulivyokumbuka kuanza kumfanyia mazoezi kwaajili ya kupunguza unene, tunashindwa hata pa kuanzia.
Nilichokuja kugundua ni kuwa, kufanya kazi ya kutoa jasho kwa mwanamke ni muhimu sana kwa ajili ya kulinda afya na mwili.
Utulivu wa akili mwanamke anaupata kwa upendo na uaminifu pekee.
Lakini kumfuga kwa kumzuia kazi za kufanya, mziki wa kunenepewa utajashindwa kuucheza siku moja.