Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mie siwezi...kwanza nipo kama sipo...ila nna siku zangu za match...[emoji3][emoji3][emoji3]! Ndo kama leo
Ndio maana waarabu wataka wake zao wawe tu watu wa nyumbani kazi yao iwe kupigwa miti, kuzaa na kulea basi.
.
Sasa wake zetu nyie wa kibongo kutwa unawaza hela mara madeni vikoba au bank, sasa hizo hamu za kugongwa utatoa wapi? Ndio kama hivi inakuwa hadi siku maalumu.

Lakini kama ukawa mama wa nyumbani, kazi yako ni kupika, kula, kulala na kuangalia maswala mengine ya home tu nakwambia kila siku ungekuwa unataka maana mawazo na akili zime relax.

Yani me mke wangu sitaruhusu asiwe mtu wa purukushani kabisa sababu ya mambo kama haya.
 
Ni jambo limetustaajabisha wengi muda mfupi uliopita usiku huu

Hii ni baada ya kusikia Kijana mmoja Bodaboda amelazimishwa kufanya mapenzi na Landlord wake ambaye ni mjane kwa miaka kadhaa

Kijana anasema Mama huyo aliingia chumbani kwake na kufunga mlango na kisha kumtight.
Rape is a type of sexual assault usually involving sexual intercourse or other forms of sexual penetration carried out against a person without that person's consent.

Kwa maana hii mwanamke hawezi baka kwasababu yeye hawezi ingiza kitu kwa mwanaume. Hapa mbakwaji lazima awe anaingizwa kitu either mbo.o au kitu cha bandia bila ridhaa ya muhusika.
 
Atake asitake anafungua zip?
Ili mwanaume aweze kufanya lazima uume uwe na utayari, kama ukiwa umesinzia hautatimiza wajibu wake ipasavyo meani hautaingia sehemu stahiki na hivyo kulazimishwa tendo kwa mwanaume asiye na utayari ni ngumu
 
Rape is a type of sexual assault usually involving sexual intercourse or other forms of sexual penetration carried out against a person without that person's consent.

Kwa maana hii mwanamke hawezi baka kwasababu yeye hawezi ingiza kitu kwa mwanaume. Hapa mbakwaji lazima awe anaingizwa kitu either mbo.o au kitu cha bandia bila ridhaa ya muhusika.
Lala wewe acha kudefine mambo ya rape saa hizi!
 
Tofauti na wanawake,wanaume huwa hawapigi kelele za kuomba msaada na hakuna wanaoshtaki...
 
Hizo ni stori tu na kila shule ya bweni ya wasichana ina stori hizo za uongo...mara walimbaka muuza karanga, mara mlinzi, mara babu mpishi, mara dereva, mara mpita njia n.k
Songea girls
Nahisi ni story ya Roleza mbeya kitambo sn niliisikia pia
Kumbe eee
Kilimanjaro hii
Ashira girls nliskia
Nadhani sasa umenielewa Ezekiel Mbaga
 
Ni jambo limetustaajabisha wengi muda mfupi uliopita usiku huu

Hii ni baada ya kusikia Kijana mmoja Bodaboda amelazimishwa kufanya mapenzi na Landlord wake ambaye ni mjane kwa miaka kadhaa

Kijana anasema Mama huyo aliingia chumbani kwake na kufunga mlango na kisha kumtight.

Nani kakwambia mwanaume habakwi?
 
Back
Top Bottom