Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Ugwadu ukizidi akili uhama toka kichwani na kuhamia chini.Mtu anaweza fanya chochote.Nasikia hayo hutokea sana shule za wasichana watupu!🙄
 
Mwanaume anaishiwaje nguvu akashindwa kujinusuru
Ina maana hapo ushirikiano unahusika?Halafu katika hali ya kubakwa ambako kuna wasiwasi mwingi dushe inasimamaje?😂😂😂
 
Niliwahi kusikia, mkoa flani kwenye shule ya bweni ya wasichana walimbaka mlinzi mpaka kufa.
Achana na story za kijiweni hizo. Mwanamme kwenye sex kuna limit. Kama walimuua basi walimuua kwa njia nyingine lakini siyo kwa kumbaka.
 
Sheria ya nchi yetu inamtambua Mwanaume tu kuwa ndiye anaweza kubaka. Tendon la kubaka ni lazima mwanaume amuingilie mwanamke kwa nguvu na si mwanamke kwa mwanaume
You are totaly wrong dear. Mwanamke anaweza kumshawishi mvulana underage asiyejua chochote na akafanya naye mapenzi. Huko ni kubaka. Halafu kubaka siyo lazima mwanamme sex organ yake iwe tayari kwa shughuli. Hata mwanamke akisababisha friction itokee kwenye sex organs za kwake na mwanaume kwa lazima hii ni kubaka.
 
Hizo ni stori tu na kila shule ya bweni ya wasichana ina stori hizo za uongo...mara walimbaka muuza karanga, mara mlinzi, mara babu mpishi, mara dereva, mara mpita njia n.k
Kabisa bingwa. Hii story ni ya zamani sana ni uongo mtupu.
 
Ni ngumu kuamini ila ndo ilivyonitokea, siwezi danganya. Na alinivizia hivyo zaidi ya mara moja. Nilimuambia brother nae hakuamini akasema namsingizia huyo mwanamke na kweli nilikuwa simpendi toka moyoni hadi leo simpendi ila ananing'ang'ania balaa!
Nipe mimi uyo mwanamke mkuu, mwaka wa saba huu unaenda nipo single.
 
Ipo kabisa wakuu. Nimewahi lala na mwanamke mmoja sikuwa nampenda kivileee. Ikatokea akawa anataka tufanye tendo nikakataa. Basi usingizi mzito ukanipitia. Baada ya masaa kadhaa nikaanza kuota km niko nafanya tendo na mwanamke.

Baadae nikashituka usingizini nakuta yule mdada amenikalia kwa juu akiendelea kufanya. Nilikuwa km sjielewi elewi hivi!Nadhani alinichezea nikiwa nmesinzia hadi uume ukasimama.Haya mambo yapo sana hasa kwenye ndoa omba yasikukute.
Vipi ulimkatalia au ulimwambia jisevie mama yote ya kwako
 
Kweli mkuu kuna baadhi ya wanawake wanadai mechi kwa nguvu ukikataa anaanzisha zogo eti umefanya kwa hawala yako.Jamani!!! Mi mwanamke mingine kero aiseeeee!
Hii ilinitokea siku moja nikiwa kwenye sindano za malaria.
 
Mwanamke labda atembee na mtoto alie chin ya miaka 18 ndo atafunguliwe kesi ya unyanyasaji wa kijinsia, ila juu ya hapo anaweza akakubaka na akakushinda mahakamani
 
Ni jambo limetustaajabisha wengi muda mfupi uliopita usiku huu

Hii ni baada ya kusikia Kijana mmoja Bodaboda amelazimishwa kufanya mapenzi na Landlord wake ambaye ni mjane kwa miaka kadhaa

Kijana anasema Mama huyo aliingia chumbani kwake na kufunga mlango na kisha kumtight.
Mkuu inawezekana, hususani Kama mwanamke huyo Ana mamlaka au uwezo wa kukutushia maisha yako. Mfano Kama anaweza kukufukuza kazi, au kutoa taarifa zako za siri azijuazo kwa wanausalama, endapo utakataa kulala naye. Katika mazingira hayo ukifanya bila kupendezwa anakuwa amebaka.
 
Back
Top Bottom