Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Watu wana mapito!!
Acha kabisa Mkuu..... Muone jamaa yetu amewahi kubakwa..... Yangekuwa ni mapenzi yangu ningetaka mwanamke mwingine ambake ukubwani.
 
Kubaka kubakwa kupo kwa aina nyingi, kupo kubaka kwakutumia nguvu na kubaka kwakutumia ulaghai na mbinu mbali mbali ambazo kiujumla wake mbakwaji anaweza asijue hadi baadae sana ndio anashtuka , aaah …!!! Nakukosa furaha kwakitendo kilichotokea na hataman tena hata kufanya hivyo, mwanaume wa aina hii anakuwa amebakwa tayari...

Na pombe , tamaa ndogo ndogo, ndio chanzo,

mafundi umeme wa manyumbani, wapiga rangi manyumbani, mafundi vitanda (seremala) wapaka kucha rangi, madereva wa watu binafsi , hawa wengi wao wana bakwa sana kimya kimyaaaaa
 
Wakat niko darasa la kwanza, kuna mdada mkubwa kishenz jirani na home kwetu... Cjui alishikwa na Nyegge cku hiyo akataka kunibaka.
Akanizuga zuga nikamfata mpaka chumban kwake, akashikashika ka Dushe kangu alipoona kamesimama akaingiza kwenye kitumbua chake.
Akajaribu kukata kiuno kidudu kikachomoka pyuuuu!!!
Nadhani MBUNYE yake ilikua kubwa sana, kiasi kwamba kidudu changu kikawa kinaelea.
Zoezi likawa halikufanikiwa. Nikavaa kaptura yangu nikarudi home kwa bibi.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
POROJO...
 
Kabakwa usiku kucha na yeye naye kadindisha tu usiku kucha???!!!
 
Wewe! dushelele halisimami kwa sababu nyingine zaidi ya kuzamisha kwenye mto ngono.
Eti unatishiwa mtutu umbake mamako mzazi, isimame! ni uzushi wa mchana kweupe.
Dushelele linasimamishwa kiurijali kwa ajili ya kustarehe ama linasimamishwa kama silaha kukomolea mtu.
Ndiyo maana wanajeshi waasajiliwa wakiwa marijali kwa maana hiyo kwamba, wanapoliteka eneo la adui, madushelele hutumika kama silaha ya kudhalilishia adui.
Lakini eti dushelele linaweza kusimamishwa wakati mmiliki katishwa ama hajaridhishwa, ni uongo na upotoshaji mkubwa.
Wakati tunafanya mitihani practical ya somo la kemia kwa ujanja huwa suali la 2 na 3 (qualitative analysis) halafu tunamalizia swali la kwanza (volumetric analysis) kwa sababu la kwanza ni refu na chances za kukosea ni nyingi... Wakati maswali ya pili na tatu yanakuwa relatively mafupi na mepesi. Sasa jamaa Yeye hakuelewa huo ujanja wa porini akaanza Kama yalivyopangwa. Mara kakosea kaanza mara hazileti almuradi mpaka anamaliza swali la kwanza invigilator anatangaza "half an hour left" jamaa karuka kwa mshutuko aaaaahhh!!! Watu wanamuangalia kupiga bao.
 
Na mbakaji
Mtu kunibabuseya hilo haliwezekani wala halijawahi kuwezekana..... Ila huu upande mwingine basi tu mtu unakufa na tai shingoni...... Chief kasema yake,.. Yetu yaozee moyoni.
 
Kwa sheria ya tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanamke mwenzake tuu kwa mujibu wa kifungu cha 131A cha kanuni ya adhabu ( penal code) kikisomwa pamoja na kifungu cha 22 cha kanuni ya adhabu.
 
Mtu kunibabuseya hilo haliwezekani wala halijawahi kuwezekana..... Ila huu upande mwingine basi tu mtu unakufa na tai shingoni...... Chief kasema yake,.. Yetu yaozee moyoni.
Basi tena maana nilikuwa nampango wa kukubaka.
 
Kwa sheria ya tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanamke mwenzake tuu kwa mujibu wa kifungu cha 131A cha kanuni ya adhabu ( penal code) kikisomwa pamoja na kifungu cha 22 cha kanuni ya adhabu.
Kwahiyo mwanamke akimbaka mwanaume hakuna kesi?
 
Back
Top Bottom