Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Labda alimboost na dose kubwa ya Viagra na hii atakuwa alimchanganyia kwenye either maji au kinywaji chochote na hii ni baada yakuwa kishafanya kazi alizomuitia,bila hivyo sidhani kama walifanya kijana akiwa na hisia za kawaida maana ukisoma hapo hadi jamaa alipelekwa kulazwa.hivi mwanaume anabakwaje?
maana maumbile yenu yanasimama na kulala.
sasa Kama sio idhini yako si inalala, anakubakaje sasa?