Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Sheria yetu inamtambua ke tu kuwa mhanga wa ubakaji. Hata me akitoa taarifa Polisi kesi inaangaliwa kwa Mashaka na mara nyingi ufutwa.
 
Tunaposema kubaka maana yake ni kushiriki tendo la ngono na mtu bila ridhaa yake.
Mtu akikosa ridhaa yako, atatumia njia ya kukulazimisha either physically or chemically. Wanaume wabakaji wao wanafanya kwa kutumia nguvu lakini mwanamke mbakaji mara nyingi anatumia chemical.

Kuna baadhi ya kemikali kama vile Viagra ambavyo mwanamke anaweza kukuwekea kwenye chakula au kinywaji halafu ukapata erection.

Basic root cause ya erection ni damu kujazana kwenye tissue za uume, sasa kama utapewa hizo kemikali, damu itakusanywa kwenye uume bila kujali hali zingine za mwili.

Hapo lazima utatamani kufanya ngono hasa ikiwa tena atakuwekea mitego.

Huo nao ni ubakaji maana haikuwa ridhaa ya mwanaume kufanya ngono bali alikuwa intoxicated
 
Mashuga mamii yamejawa na genye na pesa yanazo yanaweza kukubaka tu usipokuwa makini
 

Ok, sawa.

Ila nijuavyo mimi hata kama mtu unatumia Viagra, Levitra, au Cialis ni lazima uwe aroused kwanza ili uweze kupata na ku maintain an erection.

Kumeza tu hizi ED pills hakukupi hamu ya tendo. Kinachokupa hamu ni arousal ambayo nadhani inafanyika kichwani [kwenye ubongo].

Kazi ya hivyo vidonge ni kuwezesha kupata na ku maintain erection lakini si arousal. Sivyo?

Mtu anaweza akawa yuko aroused lakini akashindwa kupata erection au anaweza kupata lakini haidumu.

Ili vidonge vifanye kazi ni lazima kwanza uwe na hamu. Hapo kwenye hamu ndo ubongo unahusu.
 
Hebu jaribu kumeza hizo dawa siku ambayo haupo aroused halafu uone kitakachotokea.
 
Hebu jaribu kumeza hizo dawa siku ambayo haupo aroused halafu uone kitakachotokea.
Hahahaaaa mazee mbona nshawahi kufanya majaribio tayari.

I'm speaking from experience as well as science.

Hizo dawa hazikupi stimulation. Haziongezi libido.

Kwa hiyo hata ukizimeza, kama huna hamu, hutapata erection.
 
Hahahaaaa mazee mbona nshawahi kufanya majaribio tayari.

I'm speaking from experience as well as science.

Hizo dawa hazikupi stimulation. Haziongezi libido.

Kwa hiyo hata ukizimeza, kama huna hamu, hutapata erection.
Kila fact ya Science ina reserve confidence % kwaajili ya yale mambo yasiyojilikana.

Sii kila kitu kitakuwa kweli kisa kimefuata hatua za kisayansi.

Mfano kushika mimba kwa wanawake, kuna mwanawake ambaye vipimo vitaonesha yupo normal lakini hawezi kushika mimba, na sababu hazijulikani.

Hii ni kwa sababu kwenye population kuna around 5% ya members watakao kuwa nje ya order.

Kuhusu wewe kuwa negative kwa viagra ni 5%, 95% ni mashaka kama uliyotumia ilikuwa viagra kweli.
 

Well...uzuri siku hizi kupata taarifa ni jambo rahisi sana.

Ingia Google...au unaweza hata kwenda WebMd kuutafuta ukweli.

Ukweli kama Viagra au Cialis zinaongeza hamu ya tendo [libido/ arousal] au la.

Na kama hutajali, nitashukuru kama ukiniwekea hapa ulichokipata.

NB: Jaribio nililolifanya lilihusisha kitu halisi kabisa.
 
hukwenda kusemelea???
 
Mnashangaa mwanaume kubakwa mbona wanabaka tena Niliskia kuna Kundi la wazungu Watalii kipindi cha nyuma Zanzibar ilikuwa tabia yao anakulaghai mmoja anakulewesha ukienda nae akikupa mchezo anapachika kitu kwenye Dudu kitu hakiji chini so wanakuja wenzake wanajimegea mpka waridhike wao na unaweza hata kufa wasipokuwa makini kukisikia mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…