Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

mwanamke ana machaguo/majibu/maamuzi mawili na yote ni sahihi kwake ila mwanaume ana chaguo/amuzi moja tu analoliamini kwamba ni sahihi

Ni tofauti moja kubwa sana hapo dada yangu
 

HABARI,
Punguza Hasira Dada Upopo pole najua amekuudhi.

LUMUMBA
 
Nyie mkichepuka ua mnazama moyo wote kwa mchepuko tofaut na cc boys, tukichepuka ni bcoz of matamanio tu, nikishakojoa tu namkumbuka mke wngu, na hata likitokea la kutokea uwa tunakua upande wa wake zetu. Over

Good example ni Diamond, japo akufunga ndoa na Zari, lakin baada ya kutokea yalitokea, kajirud kwa Zari
 
Siku zote kidonge huwa ni kichungu
 
Mara ngapi michepuko yenu inaangamiza familia kwa kuvidindisha visangara vyenu????

Haramu tamu km kwenu halali mjiandae kufwa tu
 
Hata sisi tukichepuka bado tunakuwa na mapenzi nanyi jamani, ndio maana huwa hatuhamii kwa michepuko na watoto tukizaa mnalea nyie waume zetu. Ikijulikana basi mtusamehe tu tuendelee kusongesha maisha.
 
Hata sisi tukichepuka bado tunakuwa na mapenzi nanyi jamani, ndio maana huwa hatuhamii kwa michepuko na watoto tukizaa mnalea nyie waume zetu. Ikijulikana basi mtusamehe tu tuendelee kusongesha maisha.
Naona wanajikaza kweli kuhalalisha kwao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…