Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Duuuh mpaka ukawa unamkataza? Siri nyingi kuhusu udhaifu wa mume wake au? Huyo alikuwa malaya tu kama wengine.
Mkuu hakuwa Malaya hata kidogo na si Malaya Hadi Sasa. Narudia alikuwa ananipa Siri nyingi za ndani mwao. Zilizohusu mipango Yao wanataka kufanya nini,udhaifu na ubora wa mmewe,ki ufupi hoja za huu Uzi ziko na 98% za ukweli.
 
Ukweli ni kuwa masela hawataacha kujaribu kutongoza demu/mke wako.... Never...
Kilichobaki ni yeye mwenyewe kuamua Asitoe mzigo au Aliwe...

so ni hatari sana... Kama mleta uzi alivosema...
No new... Ipo hvo kabla,, sasa na hata baadae haitabadilika.
 
Hata mwanaume kuchepuka ni hatari pia, maana anachepuka na mwanamke ambaye atatamani akumiliki kwa njia yoyote ile...! Iwe kwa ndumba au kwa kukolezwa
Bado ubaya unabaki kwa mwanamke.Unaona Wanawake mlivyo Wabaya??
 
Anakua hana hisia na ww bali hisia zake zipo kwa mchepuko. Ni rahisi kukuletea kiburi, jeuri na dharau ambazo utapata stress na kukusepesha chap.
Na pia anaweza hata fanya njama udanje fasta aenjoy na mchepuko kwa uhuru.
Naam ndivyo ilivyo.
 
Mkuu hakuwa Malaya hata kidogo na si Malaya Hadi Sasa. Narudia alikuwa ananipa Siri nyingi za ndani mwao. Zilizohusu mipango Yao wanataka kufanya nini,udhaifu na ubora wa mmewe,ki ufupi hoja za huu Uzi ziko na 98% za ukweli.
Udhaifu kama upi? Wa kwenye sex au? Halafu hata akikupa siri zote ni kazi bure tu coz u hav nothing to do, huna cha kufanya.
 
Wanaooa malaya ndio huuawa kwa sumu na malimbwata.
Sidhani km upo sahihi.Mwanamke anayeweza kukuua ni yule ambaye wewe ulianza naye maisha Kiufupi wewe ndie ulimzindua lkn baadaye anaingia ktk penzi na mtu mwingine na kuona kuwa kwako alichelewa sana kuonja Utamu wa Dunia hii,huyu ndiye hatari sana kupita maelezo maana chochote atakachoelekezwa na Mshikaji wake hawezi kukataa.Lkn Malaya ameshakula maisha vyakutosha,Dushe za kila aina amezizoea, hivyo km ameamua kuingia ktk mahusiano na wewe hawezi kubadilika kiasi cha kutaka kukuua.I stand to be corrected.
 
Ujue malaya ana roho ngumu?! Ni rahisi kukuua ukimuoa kuliko asiye malaya
 
Udhaifu kama upi? Wa kwenye sex au? Halafu hata akikupa siri zote ni kazi bure tu coz u hav nothing to do, huna cha kufanya.
Cha kufanya kipo mfano hapewi mkunyenge,Mimi ninampa hadi anapumua mithili ya mtu mwenye asma na ananishukuru.
Ki uchumi wako vizuri,akinunua chochote Cha mme wake jamaa anakuja juu eti anaharibu pesa badala yake ananinunulia Mimi. Bado sijafanya kitu hapo?
 
Sidhani km upo sahihi.Mwanamke anayeweza kukuua ni yule ambaye wewe ulianza naye maisha Kiufupi wewe ndie ulimzindua lkn baadaye anaingia ktk penzi na mtu mwingine na kuona kuwa kwako alichelewa sana kuonja Utamu wa Dunia hii,huyu ndiye hatari sana kupita maelezo maana chochote atakachoelekezwa na Mshikaji wake hawezi kukataa.Lkn Malaya ameshakula maisha vyakutosha,Dushe za kila aina amezizoea, hivyo km ameamua kuingia ktk mahusiano na wewe hawezi kubadilika kiasi cha kutaka kukuua.I stand to be corrected.
Exactly
 
Cha kufanya kipo mfano hapewi mkunyenge,Mimi ninampa hadi anapumua mithili ya mtu mwenye asma na ananishukuru.
Ki uchumi wako vizuri,akinunua chochote Cha mme wake jamaa anakuja juu eti anaharibu pesa badala yake ananinunulia Mimi. Bado sijafanya kitu hapo?
Kumbe mume wake hampi mkuyenge? Amemkinai thats why hampi show kila muda, anakuja kwako ila anarudi kwa mumewe. Bado humfaidi vizuri mbona.[emoji5][emoji23][emoji23]
 
Ujue malaya ana roho ngumu?! Ni rahisi kukuua ukimuoa kuliko asiye malaya
Malaya mpaka ameamua kuolewa na wewe inamaana ameshapitia starehe za kila aina, ameshakula matango ya kutosha, bamia kama zote, bilinganya na karoti ndo usiseme, hadi mirinda nyeusi zenye baridi na zenye joto zote azijua, so hakuna jipya la kumdanganya, na wapo ambao wamebahatika kuwaoa malaya na wakatulia kwenye ndoa na kuwa mama bora kuliko hata wale ambao walikuwa wanaonekana ni wachamungu (sijasema wote).

Usipende kukihukumu kitabu kwa kuangalia kava la nje[emoji3578]
 
Back
Top Bottom