Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko



Soma na hiyo.

Angalia Watu walio kwèñye Umri WA Kuoa na kuolewa yàani kuanzia Miaka 16-50 jinsia Ipi inaidadi ya Watu kuliko nyenzake

Bahati nzuri humu kûna madaktari na manesi waulize Kati ya Watoto wa kike na wakiume Wapi wanaongoza Kwa kuzaliwa mahospitalini?

Kwa kukusaidia tuu, Wanaume huzaliwa wengi Kuliko wanawake na hiyo NI Dunia nzima.
Semà kadiri wanavyokua kutokana na changamoto za Maisha ikiwemo magonjwa pàmoja na utundu wa Vijana WA kiume pàmoja na utafutaji Maisha inapelekea uwiano kupungua mpaka kufikia Umri WA Miaka 50 Wanawake idadi Yao inaanza kupiku idadi ya Wanaume
 
Mambo ya uwiano sijawahi kuyaelewa mbona mimi watu kama tano wote walikuwa wanang'angana kunioa?

Huo uwiano wènyewe ni propaganda. MTU Hana utaalamu wowote wa mambo ya jiografia na takwimu alafu anakuambia wanawake NI wengi kuliko Wanaume ndîo maana Wanaume wanatakiwa waoe wake wengi.

Ukimuuliza, kwèñye Umri wa kuoa na kuolewa jinsia gàni inawatu wengi hajui.

Alafu hawajui kuwa Wanaume wanazaliwa wengi Kuliko wanawake na hiyo NI Duniani kote

Embu soma hii chart
 
Uongo, tuko sawa
 
Jee tukiruhusu kila mwanaume aoe wake wawili, itakuwaje
 
Y
🤣🤣🤣🤣 Huyo kapinda kweli aisee...hapo undugu Kwisha😊
aani pamevurugika halafu paroko nae ni Kama hatoi msimamo juu ya nini kifanyike. Binadamu wana uwezo mkubwa sana wa kufanya yasiyofikirika
 
Ni kweli kabisa.
Aione mkwe wangu Watu8
Ole wako!!

Mkwe hakuna kitu kinaitwa mke wa kwanza au wa pili au wa tatu...

Bali kuna kitu kinaitwa mke wa fulani kwa umoja wao na wake za fulani kwa wingi wao pasipo kujali nyakati zao za kuolewa...

2 Samweli 12
7 Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;

8 nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.
 
Wewe ni hawara wa mleta mada?
 

kwa kutumia hesabu rahisi tu kwa mujibu wa data zako hapo juu
Umri wa wanawake kuolewa tuseme ni 25 to 29 ambapo kwa chart yako tofauti ya wanawake na wanaume ni 0.3%
Hiyo ni sawa na kusema, kama wanaume wote Duniani wenye umri huo wataoa
Wanawake 24,600,000 hawataolewa.
Kwa hiyo kwa kichwa chako kinakushawishi kuwa hiyo idadi ya wanawake zaidi ya milioni 24 itaishi maisha yao yote bila kuolewa na hapo nimesema; kama wanaume wote wataoa kitu ambacho SIO RAHISI kwa dunia hii
KAMA BAADHI YA WANAUME HAWATAOA WAKE WAWILI, MIAKA IJAYO TUTEGEMEE SINGLE MOTHER WENGI SAMBAMBA NA WATOTO WA MITAANI KUONGEZEKA SANA.....
 
Wanatakiwa kuolewa
Hiyo ya kusema Wanaume NI wengi kuliko Wanawake alafu takwimu hiyohiyo haijaonyesha weñye umri wa kuoa na kuolewa uwiano waô ukoje bado itabaki kuwa propaganda
Hii ni sawa na siasa, je watawalazimisha waoaji kama hawataki?
 
Inasikitisha
 
Wengine waolewe na nani ? Unajua uwiano wa wanaume kwa wanawake? Ukiacha watoto
Kunawanaume wengi tu ambao hawajaoa mpaka wengine years 30 sasa. Lakini unashangazwa na mwanamke anamshupalia wanaume mwenye wake watatu ili amuoe yeye awe wa nne, tiyari huku nyuma, kashakataa wanaume kibao, ambao hawana hata mke mmoja, wanawake udhaifu mnautafuta nyie kwa akili zenu. Mpaka msimamiwe na sheria.
 
Usisahau kuwa idadi ya wanawake kwa sasa inazidi idadi ya wanaume!
Pili Vijana wengi ambao ndiyo wanapaswa kuoa wanaogopa maisha hivyo hawaoi.
Kwa sababu hiyo na sababu nyinginezo wanawake wanalazimika kujipeleka kwa wanaume walio na wake tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…