Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Mambo ya uwiano sijawahi kuyaelewa mbona mimi watu kama tano wote walikuwa wanang'angana kunioa?Wengine waolewe na nani ? Unajua uwiano wa wanaume kwa wanawake? Ukiacha watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya uwiano sijawahi kuyaelewa mbona mimi watu kama tano wote walikuwa wanang'angana kunioa?Wengine waolewe na nani ? Unajua uwiano wa wanaume kwa wanawake? Ukiacha watoto
Takwimu kutoka Taasisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Tanzania ina wanawake 31,687,990 - ikiwa ni asilimia 51 ya idadi ya raia wake. Wanaume wanachukua asilimia 49 kwa idadi yao ya 30,530,130.
Kwa takwimu hizo kama kila mwanaume akioa mwanamke mmoja, kuna wanawake zaidi ya milioni moja hawataolewa. Je, tuwapeleke wapi?
Idadi ya, wanawake na wanaume duniani ni sawaUna namba kamili ya wanaume dhidi ya wanawake? Tuzungumze kwa namba kwanza, achana na hisia ulizonazo
Nyuma kabisa upande wa dereva nikichungulia trafick anavyopewa buku 2
Mambo ya uwiano sijawahi kuyaelewa mbona mimi watu kama tano wote walikuwa wanang'angana kunioa?
Uongo, tuko sawaHizi ni hadith tu kama zile za abunuwas
NIKUKUMBUSHE TU KUWA; Wanaume ni wachache kuliko wanawake na sasa hivi waoaji wanazidi kupungua baada ya Nguvu kubwa kuelekezwa kwa wanawake na Ukichanganya na janga la ushoga; waoaji walio makini wanaenda kuwa kama dhahabu
Sasa wewe endelea kujidanganya kuwa, wanawake kwa malaki watazaliwa hadi kufa bila kuwa na mahusiano na wanaume...
Una namba kamili ya wanaume dhidi ya wanawake? Tuzungumze kwa namba kwanza, achana na hisia ulizonazo
Nyuma kabisa upande wa dereva nikichungulia trafick anavyopewa buku 2
Jee tukiruhusu kila mwanaume aoe wake wawili, itakuwajeTakwimu kutoka Taasisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Tanzania ina wanawake 31,687,990 - ikiwa ni asilimia 51 ya idadi ya raia wake. Wanaume wanachukua asilimia 49 kwa idadi yao ya 30,530,130.
Kwa takwimu hizo kama kila mwanaume akioa mwanamke mmoja, kuna wanawake zaidi ya milioni moja hawataolewa. Je, tuwapeleke wapi?
aani pamevurugika halafu paroko nae ni Kama hatoi msimamo juu ya nini kifanyike. Binadamu wana uwezo mkubwa sana wa kufanya yasiyofikirika🤣🤣🤣🤣 Huyo kapinda kweli aisee...hapo undugu Kwisha😊
Wewe ni hawara wa mleta mada?Mfano uliotoa Ni nonsense kabisa 😆 eti uchungu wa kuzaa hakuna mwanamke angekubali kubeba mimba. Huo uchungu nikitu ambacho hakidumu ngoja nikupe namimi mfano wa kifala,,, mbona watu wanajua Ukimwi upo na unaua lakini tunajiweka kwenye hatari ya maambukizi. Kiufupi hakuna kitisho kinachoweza kumzuia binadamu kufanya Jambo. Ndugu mchangiaji tafuta mfano mwingine
Watu wenye vinyesi kichwani nimatatizo sanaWewe ni hawara wa mleta mada?
unabadilisha changamoto kuwa kwenye fursa. Narudia kw amara nyingine, mwanamke anayetaka NDOA naomba aje INBOX tafadhali sana
Hii ni sawa na siasa, je watawalazimisha waoaji kama hawataki?Wanatakiwa kuolewa
Hiyo ya kusema Wanaume NI wengi kuliko Wanawake alafu takwimu hiyohiyo haijaonyesha weñye umri wa kuoa na kuolewa uwiano waô ukoje bado itabaki kuwa propaganda
[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa kama culture ni ya Tibeli kwa nini umewaandikia watanzania?
InasikitishaHuo uwiano wènyewe ni propaganda. MTU Hana utaalamu wowote wa mambo ya jiografia na takwimu alafu anakuambia wanawake NI wengi kuliko Wanaume ndîo maana Wanaume wanatakiwa waoe wake wengi.
Ukimuuliza, kwèñye Umri wa kuoa na kuolewa jinsia gàni inawatu wengi hajui.
Alafu hawajui kuwa Wanaume wanazaliwa wengi Kuliko wanawake na hiyo NI Duniani kote
Embu soma hii chartView attachment 3070463
Kunawanaume wengi tu ambao hawajaoa mpaka wengine years 30 sasa. Lakini unashangazwa na mwanamke anamshupalia wanaume mwenye wake watatu ili amuoe yeye awe wa nne, tiyari huku nyuma, kashakataa wanaume kibao, ambao hawana hata mke mmoja, wanawake udhaifu mnautafuta nyie kwa akili zenu. Mpaka msimamiwe na sheria.Wengine waolewe na nani ? Unajua uwiano wa wanaume kwa wanawake? Ukiacha watoto