Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Mbona yuko sawa tu mwandishi yawezekana uzi bora kwa wiki huu. Kuoa itatengemea na sababu ili uoe wa pili sio kuoa ao tu kwa tamaa tu??
 
Usisahau kuwa idadi ya wanawake kwa sasa inazidi idadi ya wanaume!
Pili Vijana wengi ambao ndiyo wanapaswa kuoa wanaogopa maisha hivyo hawaoi.
Kwa sababu hiyo na sababu nyinginezo wanawake wanalazimika kujipeleka kwa wanaume walio na wake tayari.
Unatumia takwimu zipi mkuu
 
Nimeipenda hii
 
Daa ndugu huwa unafeli sana tena sana ujue, unachanganya sana mambo,sijui unaandika ili upate attention au laa

Unalinganisha ndoa na kipato,kwa maana kwako wewe kuwa na kipato basi ndoa haina maana,kwa maana mwanamke akiwa na kazi yake basi hastahili kuolewa mke wa pili,bali awe mke wa kwanza tu.

Je unaelewa kusudio la ndoa? Au unalopoka tu?

Ndoa ni fungamano la watu wawili waishi pamoja ili kulinda mipaka ya Mwenyezi Mungu,kwa maana mwanaume au mwanamke au mwanamke asipokuwa na ndoa lazima ataenda kinyume na mipaka ya Mungu,kwahiyo kusema mwanamke asiolewe mke wa pili kwa maana nyingine unamtaka mwanamke huyo aishi siku zote kuenda kinyume na mipaka ya Mungu.

Je kwako wewe kuolewa mke wa kwanza ndio uzuri?

Na kuolewa mke wa pili ndio ubaya?

Mdogo wangu think big kabla hujashika kalamu

Asante
 
Ndo ukweli kabisa huu!
 
Huna adabu mkwe!!
Yaani hadi vifungu vya baibo unakwoti 🙆🙆🙆
 
Usisahau kuwa idadi ya wanawake kwa sasa inazidi idadi ya wanaume!
Pili Vijana wengi ambao ndiyo wanapaswa kuoa wanaogopa maisha hivyo hawaoi.
Kwa sababu hiyo na sababu nyinginezo wanawake wanalazimika kujipeleka kwa wanaume walio na wake tayari.


Embu angalia hiyo chart alafu nambie jinsia gàni kwèñye Umri WA Kuoa na kuolewa wàpo wengi?
 

Siô kîla Mwanamke anataka kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…