Mkwe hakuna kitu kinaitwa mke wa kwanza au wa pili au wa tatu...
Bali kuna kitu kinaitwa mke wa fulani kwa umoja wao na wake za fulani kwa wingi wao pasipo kujali nyakati zao za kuolewa...
2 Samweli 12
7 Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;
8 nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.