Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Sometimes huwa unaandika pumba sana ...kuwa mke WA pili sio laana..
Hebu imagine umeoa mwanamke halafu ghafla amepata ugonjwa wa kutokupona ambapo hawezi kukuhudumia tendo...je hutooa mke wa pili...? Au utaishi hivyo hivyo TU?
Bro think big sio Kila kinachokuijia kichwan unakimbilia kuandika
Mbona yuko sawa tu mwandishi yawezekana uzi bora kwa wiki huu. Kuoa itatengemea na sababu ili uoe wa pili sio kuoa ao tu kwa tamaa tu??
 
Usisahau kuwa idadi ya wanawake kwa sasa inazidi idadi ya wanaume!
Pili Vijana wengi ambao ndiyo wanapaswa kuoa wanaogopa maisha hivyo hawaoi.
Kwa sababu hiyo na sababu nyinginezo wanawake wanalazimika kujipeleka kwa wanaume walio na wake tayari.
Unatumia takwimu zipi mkuu
 
Sometimes huwa unaandika pumba sana ...kuwa mke WA pili sio laana..
Hebu imagine umeoa mwanamke halafu ghafla amepata ugonjwa wa kutokupona ambapo hawezi kukuhudumia tendo...je hutooa mke wa pili...? Au utaishi hivyo hivyo TU?
Bro think big sio Kila kinachokuijia kichwan unakimbilia kuandika
Nimeipenda hii
 
Daa ndugu huwa unafeli sana tena sana ujue, unachanganya sana mambo,sijui unaandika ili upate attention au laa

Unalinganisha ndoa na kipato,kwa maana kwako wewe kuwa na kipato basi ndoa haina maana,kwa maana mwanamke akiwa na kazi yake basi hastahili kuolewa mke wa pili,bali awe mke wa kwanza tu.

Je unaelewa kusudio la ndoa? Au unalopoka tu?

Ndoa ni fungamano la watu wawili waishi pamoja ili kulinda mipaka ya Mwenyezi Mungu,kwa maana mwanaume au mwanamke au mwanamke asipokuwa na ndoa lazima ataenda kinyume na mipaka ya Mungu,kwahiyo kusema mwanamke asiolewe mke wa pili kwa maana nyingine unamtaka mwanamke huyo aishi siku zote kuenda kinyume na mipaka ya Mungu.

Je kwako wewe kuolewa mke wa kwanza ndio uzuri?

Na kuolewa mke wa pili ndio ubaya?

Mdogo wangu think big kabla hujashika kalamu

Asante
 
Wanawake wasiojitambua ndîo huambiwa maneno hayo ili kuwatisha na kuwapumbaza Kisha Wanaume hutumia propaganda hiyo kuwatumia Wanawake dhaifu wasiojiamini.

Ndîo maana nikasema, Kwa Binti za Tibeli hiyi desturi ya kuwa mchepuko au kuolewa Mke WA pili wawaachie Wengine No matter what.

Gap la idadi ya Watu Baina ya Wanawake na Wanaume siô la kutisha kiasi kwamba mwanamke anayejitambua aolewe Mke WA pili au awe mchepuko.

Hiyo ni mitazamo na falsafa za Watibeli Mkûu siô Kwa Watu wote
Ndo ukweli kabisa huu!
 
Mkwe hakuna kitu kinaitwa mke wa kwanza au wa pili au wa tatu...

Bali kuna kitu kinaitwa mke wa fulani kwa umoja wao na wake za fulani kwa wingi wao pasipo kujali nyakati zao za kuolewa...

2 Samweli 12
7 Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;

8 nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.
Huna adabu mkwe!!
Yaani hadi vifungu vya baibo unakwoti 🙆🙆🙆
 
Usisahau kuwa idadi ya wanawake kwa sasa inazidi idadi ya wanaume!
Pili Vijana wengi ambao ndiyo wanapaswa kuoa wanaogopa maisha hivyo hawaoi.
Kwa sababu hiyo na sababu nyinginezo wanawake wanalazimika kujipeleka kwa wanaume walio na wake tayari.
IMG_20240815_095607.jpg


Embu angalia hiyo chart alafu nambie jinsia gàni kwèñye Umri WA Kuoa na kuolewa wàpo wengi?
 
kwa kutumia hesabu rahisi tu kwa mujibu wa data zako hapo juu
Umri wa wanawake kuolewa tuseme ni 25 to 29 ambapo kwa chart yako tofauti ya wanawake na wanaume ni 0.3%
Hiyo ni sawa na kusema, kama wanaume wote Duniani wenye umri huo wataoa
Wanawake 24,600,000 hawataolewa.
Kwa hiyo kwa kichwa chako kinakushawishi kuwa hiyo idadi ya wanawake zaidi ya milioni 24 itaishi maisha yao yote bila kuolewa na hapo nimesema; kama wanaume wote wataoa
KAMA BAADHI YA WANAUME HAWATAOA WAKE WAWILI, MIAKA IJAYO SINGLE MOTHER ITAKUWA NDIO HABARI YA MJINI

Siô kîla Mwanamke anataka kuolewa.
 
Back
Top Bottom