Mwanamke anayejiweza kimaisha

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date

Msome tena Asprin
 
[/COLOR]

hapo akitaka kufanyiwa hivyo atakuwa amejitakia, lakini wanaojua kusaka faranga kama yeye yapo na tuseme wanatafutana lakini ni kwamba hawajapatana tu sio kusema itakuwa ngumu kwake kupata au vipi kupata atapata tu....
We hiki kiburi cha kutoa garantii unakitoa wapi??? Yaani utadhani una kiwanda cha waume bana
 
Mi nadhani ukiwasoma vizuri Gaijin na Asprin utagundua kwamba mnazungumza lugha moja. Jaribu tena....trust me on that one.
 
Hapa mzee unaniangusha kabisaaaa. Yaani gr8 thinker unatoa mfano wa ndoa ya aka 3.
 
Angalia hii kaka mkubwa.

The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Da Womanizer (Today)
 
Exactly!!!!!!!
 
Kumbe tatizo unalijua ila ubishi tu.............
 
Teamo leo siyo mzima. Amekuwa kama wale wahubiri wa barabarani pale mnazi mmoja. Anazunguka round about hadi anapata kizungu zungu. Hoja zimemwishia hadi anafanya kuandika andika tu. Baada ya kumwagiwa journals mshikaji ameanza kuchemka si kawaida.

Ananiuliza kama ninaamini journals wakati anajua kuwa hizo ndiyo msosi wangu wa kila siku. Lakini tumsamehe, angekuwa kwenye huo uwanja wa utafiti, angejua ni jinsi gani hizi journal zinaandaliwa.

Hata hivyo kama anakataa matokeo yaliyopatikana kwa wazungu anao uhuru wa kufanya study yake hapa bongo ili akishapata ugunduzi mpya wa ki-sociology aingie kwenye Guiness Book of Records au anaweza kuibika na Nobel prize.
 
JS wengi watakuogopa lkn atatokea tu 'jasiri' akupende Kama ulivyo na mali mali zako. Na atakuendesha na kuwa kichwa ya familia bila ya kuudhiwa na Mali zako

kaza buti mwaya..... Jijenge usisubiri kuolewa


Asprin bwana! Mbona mnata kumnyanyapaa mwanamke!

Hivi asisome mpaka uwezo wake utakapomfikisha kwa kuhofia kukosa mume ?

Hivi hata Kama ana uwezo wa kutafuta pesa asiitafute kisa mume?




kama ushahidi wa journals za international huutaki, usingezungumzia suala la sayansi.....


ukweli utabaki vile vile kama ulivyothibitishwa na wazungu male prefer wanawake wenye Social and Economical Satus ya chini kuliko wao...........


nimeona bora tu nifanye summary kwa faida ya wote 😀
 
Hivi bado tunaendelea hapa JS...mwaya ukikosa mchumba tutafunga na kuomba mungu atakupa mme mwema .
 
The guy is playing with your mind G.
 
hii Mada bado inaendelea tu?

JS anything ulichopata so far?
 
hii Mada bado inaendelea tu?

JS anything ulichopata so far?

Thanks for asking that

Well, nimepata mengi sana ila i can say this: mimi kama kuzisaka naendelea kuzisaka kujiendeleza najiendeleza kwa kwenda mbele hakuna kurudi nyuma. kwa sababu naamini yupo mtu hata kama ni wa level gani nitampenda na atanipenda na tutakuwa kitu kimoja. si lazima nipate mtu aliye level sawa na mimi no way. ile kwamba kutakuwa na manyanyaso na madharau ni hulka tu ya mtu sasa kama sina dharau ndo nianze kudharau kwa sababu ya mali/pesa? huwezi jua leo zipo kesho hazipo and beleive me i have seen ladies who are quite well off than their partners and their lives are great na nimeishi nao.

Its high time hii notion waliyo nayo wanaume especially wa Kiafrika ibadilike ile sense ya kudominate everything imepitwa na wakati. na wale wanaotaka kuhit and run kama Fidel ukirejea posts zake kule mwanzoni they dont worth even a decimal point of a lady's time. watu kama hao wanajulikana kwa sababu anakuwa hayuko genuine in his feelings ziko elements tu zitamfanya ajulikane kuwa huyu hana lolote.

Kama kazi ya mwanaume inamlipa pesa ndogo that rich woman married to him should respect that. there is no question about that. na kama mke anarespect basi mume naye awe happy tu coz in the end what matters is what they share deeply inside their hearts kilichowafanya waoane.

kama mtu yuko ready kutangaza nia kwangu just go for it bila any doubts. muache kuwadiscourage wenzenu.

muwe na jioni njema sijui kiwanja cha wapi leo naenda kutia timu saa hizi kujipooza koo
 

Swali kidogo la kizushi, unaweza kuelezea kidogo mpaka sasa unamiliki nini kama Mwanamke, maana tunaweza tukakuogopa kumbe ndio unayefaa
 
Swali kidogo la kizushi, unaweza kuelezea kidogo mpaka sasa unamiliki nini kama Mwanamke, maana tunaweza tukakuogopa kumbe ndio unayefaa

Similiki chochote extra-ordinary ila najitegemea mwenyewe tu kutokana na kazi nayofanya. siwezi lala njaa angalau au kukosa mavazi au kukosa sehemu ya kuulaza mgongo.
 

Hongera sana kwa kujiweza/kufanya maandalizi ya kujiweza. Ktk dunia ya leo ukisikiliza sana maneno ya watu kwenye maswala ya maana kama hayo utashindwa kujikwamua kabisa. Ongeza juhudi kwa kweli achana na hao wanaume wasiopenda maendeleo ktk familia, utapata tu wanaopenda maendeleo na watakaokuheshimu.
Kwa mtazamo wangu wanaume wengi wasiopenda wadada wanaojiweza huwa hawana sifa nzuri (Samahani kwa hilo) mara nyingi huwa ni wanyanyasaji wakubwa kwa wake zao hasa kwa kuwa wanawake wanawategemea kwa kila kitu.
Ni kweli kwamba wanaume huwa ndo watafutaji wa kipato ktk familia, ila ikitokea baba wa familia amefariki kama mama hana uwezo kwa kwelii maisha ya watoto huwa hatarini sana na wengi huhamia kijijini ambako hawajawahi hata kuishi (siombei hilo jamani).
 
Wanaume tupo tofauti sana...
Mimi binafsi wanawake wenye pesa ndio ambao huwa
wanani turn on big time.....
Why?
Kwa sababu nikimpata nitajua kuwa hakuvutiwa
na pesa kwangu
pili nitajiona mwanaume hasa kwa kumpata
mwanamke mwenye pesa ambae probably atakuwa anaringa
na wanaume wengine wanamuogopa....

But baadgi ya wanawake wenye pesa wana matatizo ya kupenda
ku control wanaume....so thats why...

Kwa ujumla awe na pesa asiwe na pesa mimi huwa
sitishiki.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…