:love:Kijana binti kujijenga si kigezo cha yeye asiolewe! kama vijana wote wangalipata wazo kama hili basi mabinti wasingalifanya kazi kabisa na wakae tu kusubiri kuolewa la wapate mali na wasiolewe! kwa maoni yangu binti anapaswa ajijenge na kijana naye ajijenge pia! mali pesa majumba nk. ni vitu vya kupita na vinatafutika! lakini moyo wa upendo wa kweli kama haupo haijalishi hata kama binti ni millionea au ni masikini kupita, ndoa itakuwa NI mateso!
kitu muhimu ni upendo wa kweli na sio uzuri wala mali, japo na hivi pia vina mchango wake kwa sehemu!
:nod:upendo huvumilia,hufariji,hupongeza,hauhesabu mabaya, haubagui, nk! HAKUNA KITU MUHIMU KATIKA NDOA KAMA UPENDO WA KWELI! :help:na hakuna mwenye kipimo cha upendo wa kweli isipokuwa YEYE aliye na upendo wa kweli! NAYE NI MUNGU WETU WA MBINGUNI!:help: