Mwanamke anayejiweza kimaisha

Mwanamke anayejiweza kimaisha

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
Wamejaa hapa wanawake wenye hela zao, lakini wanaogopa kuchangia hii mada!!

Baba askofu hebu tupe uzoefu wako katika hili.

Ni kwamba wanawake wenye hela ni watoaji wazuri wa sadaka kanisani...

Nimesoma post zote hakuna hata mdada mmoja alie sema kua yeye kamzidi uwezo mumewe na mambo yanaenda! So JS utampata wa level yako!

Akchwale... nasubiri wajitokeze... wakitokea nijulisheni tafadhali niwakaribishe kanisani (si unajua watumishi wa mungu pia wanahitaji neema za sadaka)...😛ray2:
 
Ni kwamba wanawake wenye hela ni watoaji wazuri wa sadaka kanisani...

Akchwale... nasubiri wajitokeze... wakitokea nijulisheni tafadhali niwakaribishe kanisani (si unajua watumishi wa mungu pia wanahitaji neema za sadaka)...😛ray2:
Tumsifu Yesu Kristu Mtumishi...
 
Basi wewe una lako jambo. Si muda wote unahangaika na scientific proofs? Zimewekwa hapo halafu unahaha kutafuta mlnago wa kutokea!!!!:disapointed:
Soma hapa?
bwana mkubwa...!
mi bado naisimamia pointi yangu ya ''MAGAZETI YA SHOGONGO'' kwasababu za msingi kabisa kwamba wapo wanaoishi hivyo (mke kuzidi kipato),na maisha yanaenda.hizo theories nyingine ni THINKING ATTITUDE OF MEN'S MIND..!KWAMBA THEY LIKE TO DOMINATE...!

na kuna wanawake ambao wameshausoma huo udhaifu wanachokifanya ni kwamba kama wanataka kufanya malipo yoyote yale WATAMPA MWANAUME ZILE HELA ALIPE...!

wengine tunao hadi maeneo yetu ya kazi wamewapa waume zao hadhi ya kuwa ma-signatory JUST TO ERADICATE THAT INFIRIORITY COMPLEX YA WANAUME!..wanadefend ndoa zao

wengine tunao humu humu jf ''they have exhaused their cash just to defend marriage zao''

kinachosumbua wanaume wengi ni ile INFERIORITY COMPLEX...!

time for changes now!

i can't go for the journals wakati naona kinachoendelea na i can challange those journals of yours
 
raha iliyoje ''kupingwa'' na jf members wote....

i mean furaha iliyoje kuona the whole jf members wanaukataa ukweli...!

NO WONDER!...ninyi ndo mlimdanganya mwakalinga
 
dark city,
mi sikutegemea kama unaweza ku-rely kwenye journals hasa tunapoijadili jamii ambayo ni DYNAMIC EVER AND EVER!

the thing is ''jamii'' is mutating every now and then,yet mmeamua kutupia karata zenu kwenye journal findings za 2007 tena za wazungu!

I AM DISSAPOINTED
 
unajua when it comes to JAMAA HANA INCOME KABISA...!that is another cup of tea!na surprising stori ni kwamba mwanaume anaweza kukaa na mwanamke ambaye HANA INCOME kwa vigezo vya ''mimi ndo kichwa cha familia''..lakin the OPPOSITE CASE IS NEVER INTO APPLICATION ANYWAYS

lakin when it comes to ''KUZIDIANA KIPATO''....!hapo kuna tolerance value tena kubwa tu na findings zimethibitisha hivyo,na watu wanaishi na maisha yanaenda tu kama kawaida.
 
Wandugu za leo,

Hivi ukikutana na mwanamke umempenda na unatamani awe wako wa milele (kumuoa) lakini unakuta bahati nzuri (au mbaya kwa wengine) huyo mwanamke yuko safi kimaisha kazi nzuri kama pesa anazo kama mali anazo pia (sio hawa wamama watu wazima hapana wadada tu wenye umri unaofaa kuolewa) utamuoa hata kama wewe huna thamani ya kiuchumi aliyo nayo?

kwa nini nimeuliza hivi, kwa sababu katika mazungumzo ya kawaida tu jana kuna rafiki yangu akaniambia watu wataogopa kutangaza nia kwangu nikiendelea kujijenga kimaisha and it got me thinking.

Sasa wanaume utamuoa tu huyo dada hata kama wewe hali yako si fresh? na wadada utakuwa bread provider kwa huyo mumeo? mapenzi yana nafasi yake na pia uwezo kiuchumi una nafasi. zamani haikuwa hivi lakini kadri siku zinavyozidi kusonga mbele mambo yanabadilika
global warming.
 
Inategemea na jinsi makuzi yako yalivyokuwa wengine dada zetu mkiwa na uwezo tu hata ukisalimiwa kujibu mpaka umthathimini juu mpaka chini sasa hapo inabidi tukuogope
sasa hii ndugu yangu ni weakness tu ya wanawake walio wengi...!sitakaa nibishe kwamba wanawake HAWANA DHARAU TO THAT LEVEL!

lakini pia SIPO TAYARI KUIKUBALI NA KUICHUKUA HII KAMA THEORY!
 
Kwa kawaida pesa haiwezi kuchukua nafasi ya mwanaume. Ni kweli baadhi ya wanaume wanaogopa kuoa wanawake wenye pesa na wapo wanaume wanaotaka kuoa wanawake wenye pesa.Mwenye kuamua uolewe au usiolewe ni wewe mwanamke kwa namna utakovyo kuwa unaishi ikiwa pamoja na kauli zako katika harakati za maisha. Nijuavyo mimi kwenye ndoa hatuoi au kuolewa na pesa, elimu, ama social status.Tunaoa au kuolewa na mtu (personality) tukitegemea maisha yenye furaha, Kwa sababu kufurahi ndicho kitu kinachopendwa na wengi.Mtu anaweza kuoa mwanamke asiye na pesa asipate furaha.Kwa sababu kufurhi ni pamoja na kuthibitisha kuwa wewe ni mwanamke au mwanaume kwelikweli, uthibitisho kuo huanzia kwenye ndoa na unaextend kwenye mambo mengine.Kuwa na pesa bila mume haviwezi kukuletea furaha.Ndoa ni jambo muhimu sana liletalo furaha ikitokea umeolewa au kuoa the right man or woman respectively. Kwa mwanamke mwenye pesa, endelea kutafuta pesa, ishi maisha yenye staha, tawala pesa zako, usitawaliwe na pesa, ishi simple life, usinjionyeshe kuwa unapesa, wala unahitaji la kuolewa. Wapo wanaume wa maana wanaotaka wanawake wa aina hiyo, watakufuata, na wewe usijirahisi walakuwa mgumu sana.Test to prove mtu anakuhitaji wewe na siyo pesa zako maana lolote laweza tokea kwenye maisha pesa zikaisha.Kama mtu kakuoa wewe na siyo pesa, pesa zikiisha wewe unaendelea kuwepo na ndoa inadumu na akioa pesa zako na siyo wewe pesa zikiisha na ndoa inaisha.
mkuu nashukuru umeliona hili....!
nafurahi pia umeliweka katika format ya kawaida kabisa inayoendana na ''jamii''
 
mi bado naisimamia pointi yangu ya ''MAGAZETI YA SHOGONGO'' kwasababu za msingi kabisa kwamba wapo wanaoishi hivyo (mke kuzidi kipato),na maisha yanaenda.hizo theories nyingine ni THINKING ATTITUDE OF MEN'S MIND..!KWAMBA THEY LIKE TO DOMINATE...!

hapa hupingani wala hujazi challenge journal bali umekubaliana nazo kuwa MAN LIKE TO DOMINATE

na kuna wanawake ambao wameshausoma huo udhaifu wanachokifanya ni kwamba kama wanataka kufanya malipo yoyote yale WATAMPA MWANAUME ZILE HELA ALIPE...!

wengine tunao hadi maeneo yetu ya kazi wamewapa waume zao hadhi ya kuwa ma-signatory JUST TO ERADICATE THAT INFIRIORITY COMPLEX YA WANAUME!..wanadefend ndoa zao

wengine tunao humu humu jf ''they have exhaused their cash just to defend marriage zao''

hapa umekubali kuwa katika hali ya kawaida mwanamke mwenye cash hawezi kuwa na mwanamme asonazo mpaka ajishushe cheo chake na ajifanye dhaifu, na chini ya mwanamme.......Sawa na kilichosemwa kwenye journals

kinachosumbua wanaume wengi ni ile INFERIORITY COMPLEX...!

hapa ndo tunarudi kule kule tunakokusema sisi na kilichokuwa proved kwenye journals .............Wanaume wana inferiority complex kwa hiyo THEY DO NOT WANT kuwa kwenye relationship na wanawake wenye uwezo wa kifedha au kijamii zaidi yao. Journals zinaongezea kuwa kutokana na sbabu hiyo, kila mwanamke anapopata cheo katika jamii, pesa au elimu nafasi zake za kupata partner in life zinapungua (hujapinga journal bali umekubaliana nako)

time for changes now!

The way you were sounding as if the changes has come .............kumbe ndio kwanza time FOR changes?! basi hayo mabadiliko hayajatokea bado, labda yatokeee katika siku za usoni.

i can't go for the journals wakati naona kinachoendelea na i can challange those journals of yours

huja challenge journal hata moja ............bali umezikubali ( yaweza kuwa bila ya kujua, but haufutiki ukweli kuwa unakubaliana nazo)
 
Kwa kawaida katika mila nyingi mwanaume ni mtawala wa nyumba ukiachilia kwa ndugu zetu kina Msimbe ambao huwa wanatawaliwa. Kuatwala maana yake kuwa safi katika nyanja zote. Inapotokea mwanamke kuwa na hali njema ya kipato kuliko mwanaume inakuwa tayari tatizo la kisaikolojia. Huyo mwanaume hata kama hata nyanyaswa atahisi kuwa ananyanyaswa. Kwa hali ya kawaida kuna uwoga kwa wanaume wengi kuoa wanawake kama hao.

Mie niliapa siwezi kuoa mwanamke eti kwa uzuri wake bali awe na hali nzuri ya kiuchumi na akili. Kwa kweli hiyo imenisaidia sana. Leo nakamua na kakazi kangu kazuri Senior Lecturer Chuo Kikuu flani nje ya nchi na mama Senior HR katika sekata flani hapo bongo. Uendeshaji wetu wa familia umekuwa rahisi na mzuri sana kwa wote tunashirikiana in terms of kipato.

Jiulize kwanini maprofesa wengi wake zao ni mama wa nyumbani au wallimu wa upe?
mkuu nashukuru kwa post yako maridhawa kabisa...!
na nimeupenda sana msimamo wako mzuri
na nina kupongeza kwa kazi nzuri uliyonayo...!

mkuu naomba kujibu swali lako la msingi nililolibold hapo.ishu ni kwamba HAO MAPROFESSA HAWAKUWA MA-PROFESSA NDO WAKAOWA HAO WANAWAKE WENYE ELIMU NDOGO!ukifuatilia sana utaona kuwa wengi wao walikuwa kwenye level hizo hizo sema tu kwa dhana ile ile ya ''mfumo dume'' walijiendeleza na wakafikia hapo.outcome yake ndo kama hivyo ni a huge range different katika kipato...!
 
huja challenge journal hata moja ............bali umezikubali ( yaweza kuwa bila ya kujua, but haufutiki ukweli kuwa unakubaliana nazo)

hizo mi sijakubaliana nazo!wewe tu ndo unalazimisha...!mimi kukubaliana na journal kunamaanisha wewe kupingana na journal zako
 
Wandugu za leo,

Hivi ukikutana na mwanamke umempenda na unatamani awe wako wa milele (kumuoa) lakini unakuta bahati nzuri (au mbaya kwa wengine) huyo mwanamke yuko safi kimaisha kazi nzuri kama pesa anazo kama mali anazo pia (sio hawa wamama watu wazima hapana wadada tu wenye umri unaofaa kuolewa) utamuoa hata kama wewe huna thamani ya kiuchumi aliyo nayo?

kwa nini nimeuliza hivi, kwa sababu katika mazungumzo ya kawaida tu jana kuna rafiki yangu akaniambia watu wataogopa kutangaza nia kwangu nikiendelea kujijenga kimaisha and it got me thinking.

Sasa wanaume utamuoa tu huyo dada hata kama wewe hali yako si fresh? na wadada utakuwa bread provider kwa huyo mumeo? mapenzi yana nafasi yake na pia uwezo kiuchumi una nafasi. zamani haikuwa hivi lakini kadri siku zinavyozidi kusonga mbele mambo yanabadilika
nilikuwa sijachungulia huku. kama unaona hutokewi na uko gado kiuchumi si wewe uanze hizo approach? si kuna wanaume wenye nazo pia? kwani lazima kusubiri wa hali ya kawaida? au unapenda kutoa amri na ukimpata mwenye uwezo mwenzako hamtakaa zizi moja. halafu mi nimetangaza nia humu jamvini kumbe kuna wadau kama wewe mpo mpo tu. ni PM tafadhali
 
hizo mi sijakubaliana nazo!wewe tu ndo unalazimisha...!mimi kukubaliana na journal kunamaanisha wewe kupingana na journal zako

rudi post 272 nimekufafanulia kwa faida yako vipi umekubaliana na journals zilizoainishwa hapa ( hii ni baada ya wewe kuomba ushahidi wa kisayansi) ...........

but i guess Asprin was right hukuzisoma alisema kwa sababu gani vile? hazina integresheni wala difrenshiesheni ....
 
hizo mi sijakubaliana nazo!wewe tu ndo unalazimisha...!mimi kukubaliana na journal kunamaanisha wewe kupingana na journal zako
Hapa tunajadili journals au wanawake wenye hela zao?

BTW leo tunakamatana kwa Viki, Esther, Mary, au kwa mshikiz?? Jibu haraka, nataka kuweka OVADRAIVU hapa!!
 
nilikuwa sijachungulia huku. kama unaona hutokewi na uko gado kiuchumi si wewe uanze hizo approach? si kuna wanaume wenye nazo pia? kwani lazima kusubiri wa hali ya kawaida? au unapenda kutoa amri na ukimpata mwenye uwezo mwenzako hamtakaa zizi moja. halafu mi nimetangaza nia humu jamvini kumbe kuna wadau kama wewe mpo mpo tu. ni PM tafadhali

Wewe hujaelewa nilichoandika hapo hebu soma tena vizuri halafu kama umeelewa nigongee thanks kwa this post then nitakuPM sawa...........haya am waiting
 
Back
Top Bottom