Mwanamke anayeomba pesa kwa mmewe mara kwa mara ni tapeli

Hivi unajua ukiomba hela sana n mme wako anaitikia tu mara nyingi akikaa mwenyewe anawezakuwa analia, asee nyie kiboko, kwahyo mmeamua kutumaliza sio
Yeye hata halii anajua wajibu wake, wewe ndo unataka kuwaharibu 😂😂😂😂
Shindwaaa pepoo
 
Hivi unajua ukiomba hela sana n mme wako anaitikia tu mara nyingi akikaa mwenyewe anawezakuwa analia, asee nyie kiboko, kwahyo mmeamua kutumaliza sio
Usiogope kuhonga ndio ufahari wa mwanaume usitegemee atasoma alafu akunyime hapana
 
Back
Top Bottom