Mwanamke ashikiliwa kwa tuhuma za kuua mpenzi wake na wembe

Mwanamke ashikiliwa kwa tuhuma za kuua mpenzi wake na wembe

Each of us has a natural right--from God--to defend his person, his liberty, and his property. These are the three basic requirements of life, and the preservation of any one of them is completely dependent upon the preservation of the other two.
For what are our faculties but the extension of our individuality?
And what is property but an extension of our faculties?
 
Dhambi ya kuua iskiage hivyo hivyo,utapokea mateso pande zote.
Marehemu atakusumbua sana maisha yako yote...
Dunia/watu watakuweka angle mbaya mnoo...hta Kama hujaenda jela.
Mbaya zaidi Huyo aliyekuumba wewe na marehu anakusubiri kwa hamu yani.
Utakuwa hutulii huli wala kulala kwa amani maisha yako yote,yan hapa Duniani moto Akhera/mbinguni moto.
Dhambi ya kuua ni mbaya sana ndg zangu,usije ukajifanya siku una vihasira vyako vya kijinga ukamtoa mtu uhai wake,yan utapata matatizo makubwa mnoo, Hata ukitoroka ni kazi bure
haya uliyajuaje kama sio nawe ni muuaji?
 
Upendo wa kweli watoka kwa Bwana. Mengine yote ni ubatili tu hapa duniani. Apumzike kwa amani Bwana mla mishangazi.
 
Huyo mwanamama akipata mwanasheria mzuri kesi yake ni rahisi, hata akufungwa haiwezi kuwa adhabu kali.
 
Dhambi ya kuua iskiage hivyo hivyo,utapokea mateso pande zote.
Marehemu atakusumbua sana maisha yako yote...
Dunia/watu watakuweka angle mbaya mnoo...hta Kama hujaenda jela.
Mbaya zaidi Huyo aliyekuumba wewe na marehu anakusubiri kwa hamu yani.
Utakuwa hutulii huli wala kulala kwa amani maisha yako yote,yan hapa Duniani moto Akhera/mbinguni moto.
Dhambi ya kuua ni mbaya sana ndg zangu,usije ukajifanya siku una vihasira vyako vya kijinga ukamtoa mtu uhai wake,yan utapata matatizo makubwa mnoo, Hata ukitoroka ni kazi bure
Wa-israel karibia wote wangekuwa wamechanganyikiwa kama unasema kweli
 
Mkiambiwa mkae mbali na mishangazi hamtaki,,,Sasa mwanaume anakuzidi nguvu mwanamke!! Tena kashika wembe!!! Alishindwa kupiga mateke na migumi😁,,,mshangazi unakuchana na wembe unamtizama tu😧
Mkuu usiombe yakukute labda kamshtukiza
 
Huyo mwanamama akipata mwanasheria mzuri kesi yake ni rahisi, hata akufungwa haiwezi kuwa adhabu kali.

Upo sahihi

Pendo wa watu Hana kosa
Inawezekana Ile simu aliyopigiwa ulikuwa pia na lugha ya matusi au ya kukera
Pendo ndio aliitwa nyumba ya wageni sio yeye alimwita mwanaume labda yeye ndio alianza kushambuliwa na yeye akajihami
 
Nashingwa kuelewa hii, Huyo mwanaume alikuwa amelewa au vipi?, Yaani mwanamke anakushambulia kwa wembe hadi kufa?...
 
Leo silali na senorita! Haki ya nani!
Nitalala juu ya paa!
 
Nawaza hapa,saa hizo wife ndio kashajua umecheat,halafu umesoma hii habari,halafu ghafla uko chumbani unasikia kaingia kwa ghafla paa....
 
Back
Top Bottom