Nimejikuta napata msukumo wa kukimbia Baada ya kusoma hii habari ๐ค๐Hatari sana
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คญHati kupigwa mawe
haya uliyajuaje kama sio nawe ni muuaji?Dhambi ya kuua iskiage hivyo hivyo,utapokea mateso pande zote.
Marehemu atakusumbua sana maisha yako yote...
Dunia/watu watakuweka angle mbaya mnoo...hta Kama hujaenda jela.
Mbaya zaidi Huyo aliyekuumba wewe na marehu anakusubiri kwa hamu yani.
Utakuwa hutulii huli wala kulala kwa amani maisha yako yote,yan hapa Duniani moto Akhera/mbinguni moto.
Dhambi ya kuua ni mbaya sana ndg zangu,usije ukajifanya siku una vihasira vyako vya kijinga ukamtoa mtu uhai wake,yan utapata matatizo makubwa mnoo, Hata ukitoroka ni kazi bure
Mkuu,ninunulie maji.Umenichosha kusoma.KwaumriwaPendolazimaatakuaSingoMaza.
HahahahaaaMapenzi yafutwe
Unataka kukimbilia wapiNimejikuta napata msukumo wa kukimbia Baada ya kusoma hii habari ๐ค๐
Wa-israel karibia wote wangekuwa wamechanganyikiwa kama unasema kweliDhambi ya kuua iskiage hivyo hivyo,utapokea mateso pande zote.
Marehemu atakusumbua sana maisha yako yote...
Dunia/watu watakuweka angle mbaya mnoo...hta Kama hujaenda jela.
Mbaya zaidi Huyo aliyekuumba wewe na marehu anakusubiri kwa hamu yani.
Utakuwa hutulii huli wala kulala kwa amani maisha yako yote,yan hapa Duniani moto Akhera/mbinguni moto.
Dhambi ya kuua ni mbaya sana ndg zangu,usije ukajifanya siku una vihasira vyako vya kijinga ukamtoa mtu uhai wake,yan utapata matatizo makubwa mnoo, Hata ukitoroka ni kazi bure
Mkuu usiombe yakukute labda kamshtukizaMkiambiwa mkae mbali na mishangazi hamtaki,,,Sasa mwanaume anakuzidi nguvu mwanamke!! Tena kashika wembe!!! Alishindwa kupiga mateke na migumi๐,,,mshangazi unakuchana na wembe unamtizama tu๐ง
Huyo mwanamama akipata mwanasheria mzuri kesi yake ni rahisi, hata akufungwa haiwezi kuwa adhabu kali.