Mwanamke asiye na muda na wanaume ni mraibu wa kujichua?

Mwanamke asiye na muda na wanaume ni mraibu wa kujichua?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Hii imekaa vipi? Hasa kwa mwanamke asiye bikra, ambaye hana muda na wanaume, tena ambaye hajishughulishi kana kwamba kuna jambo linamkeep busy, hapana. Anayeendekeza chuki dhidi ya wanaume.

Kuna ukweli ndani yake kuwa wanawake wa namna hii ni waraibu wakubwa wa punyeto?
 
1. Matokeo ya mikopo kausha damu......

2. Ukisikia mtoto balida, ndo hao yaani kaganda hana hisia, kavuuu....

3. Teja wa nyeto kama walivyo wa ganja... ila uraibu una raha yake....
 
1684397008776.png
 
Ukiona hana time na wanaume ujue a stokz na wanawake wenzei⁶
 
Low libido.. sio kila mtu ubongo wake umejaa makamasi
 
Low libido.. sio kila mtu ubongo wake umejaa makamasi
Wanafikiri kila mtu anawaza kutiwa tuu au kutiaa tuu muda wote...
Kuna muda hata habari hizo unasahau kabisaa kama zipo..unakuja kukumbuka ukiwa unaogaaakuwa dah hiki kiungo hakijatjmika muda eeh!!!!??.
Ukitoka hapo unakamatika na mambo hatar kabisaa.
 
Back
Top Bottom