Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Unataka awe na account wapi?
Wahudumu wa mahotelini ukiwa na SHEKELI UCHAWI WA MZUNGU PESA UNAWABATUA..BAHAMEDI KWENYE BAR PESA YAKO.MABINTI USWAHILINI WAKE ZA WATU ILIMRADI WAZIPENDE PESA WANATWANGWA...WATOTO WA USHUANI UKIWAPATIA WANAPIGWA...KWA HIYO WALIO WENGI WANATAFUNWA MZEE
 
anaweza akakufaa ila pia mnaweza kugombana na kuachana hata kabla ya kukutana
 
Nimewahi kuwa na mpenzi kutoka badoo na tulidumu for 6 month sikuwahi ona kama ni mapepe kihivyo na nilikua napiga kavu 2016 hiyo na alihitaji serious relationship.
Lakini kwa kuwa nilimpata badoo sikumuamini so siku namuacha alilia sana asee ila sikuwa na namna.
 
Mkuu.. hii inawezekanaje hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…