Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Kwani demu wa Badoo ana tofauti gani na demu wa WhatsApp, facebook na insta? Tuanzie hapo kwanza
 
Mi niliishawai kupelekwa na demu mpaka mbagala ndani ndani huko na demu wa badoo alafu kufika huko kazima simu da nili maindi nikafuta na app yenyewe nimechoma mafuta yangu bure na mark x inavyokunywa wese
Kifinga wewe ni mwanaume?
 
Iyo ni hatari.😱😱😱😱
wangine madume wanajifanya wanawake, ukituma pesa umeliwa.

Unabaki kusema **uyu demu mshenzi kweli kanitapeli** kumbe mwanaume mwenzako kakuingiza mjini
 
Mapenzi yanapatikana kokote mkuu we jiridhishe kwa vigezo vyako akifaa weka ndani
 
test zali dingilai halafu uje kutupa report
 
Siwezi kuoa mwanamke toka dating site[emoji16][emoji16][emoji16] hata nikimkuta bikira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…