Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
....eti ENheeee[emoji33][emoji33]Na sio kila mwanamke anafaa kuwa mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....eti ENheeee[emoji33][emoji33]Na sio kila mwanamke anafaa kuwa mke
Wa mtandaon anawasiliana na watu wengi zaidiKwani demu wa Badoo ana tofauti gani na demu wa WhatsApp, facebook na insta? Tuanzie hapo kwanza
haha,....ameolewa ila anaishi na room mate....huu mji joto haliishi leo wala kesho![]()
Kiinglishi kinapokuwa janga la Taifa huko Badoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haha,....ameolewa ila anaishi na room mate....huu mji joto haliishi leo wala kesho![]()
Kiinglishi kinapokuwa janga la Taifa huko Badoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hauingii mtaroni "unadumbukia"Dah... hii mizigo lazima uingie 'mtaroni'....[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Hahahah [emoji28][emoji28]haha,....ameolewa ila anaishi na room mate....huu mji joto haliishi leo wala kesho
Kifinga wewe ni mwanaume?Mi niliishawai kupelekwa na demu mpaka mbagala ndani ndani huko na demu wa badoo alafu kufika huko kazima simu da nili maindi nikafuta na app yenyewe nimechoma mafuta yangu bure na mark x inavyokunywa wese
Mapenzi yanapatikana kokote mkuu we jiridhishe kwa vigezo vyako akifaa weka ndaniWakuu
Huyu demu nimemchunguza vya kutosha kitabia na mienendo yake kwa ujumla na sasa nimejiridhisha pasipo chembe ya mashaka kuwa huyu ndiye atakayenifaa maishani.
Kitu ambacho bado kinachonitatiza huyu dem nimemtoa mtandaoni.
Wakuu naomben uzoef wenu. Hawa warembo wa huku badoo wanaweza kufaa kwa matumiz endelevu kweli? coz naona nyuz nyngi hapa ni za kuwadis.
Waumin wa picha vuteni subra
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Unaoa malaya????
test zali dingilai halafu uje kutupa reportWakuu