Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope


Labda alipitiliza mkuu alikua anaelekea Moro.[emoji23][emoji23]
 
Badoo nimesha piga sana mzigo kuanzia kwa majimama mpaka kwa vibinti, nishatapeliwa sana pia kuanzia hela ya nauli mpaka ya kusuka, nafurahi kukutana na "Wanabadoo" wenzangu katika kubadilishana ujuzi.
 
Hivi hawa TISIHARAHEI hawakuuona hii mtandao
 
ha ha haaaaa, ngoja nikamuonyeshe mwafulani, afu wanapenda kwenda saloon haoooo, utadhani wanalala kwenye karakana. Kuna jamaa yangu alinisumbua nimkope 50 elfu aongezee kumleta mwanadada kutoka Mwanza kuja Dar, zilimtoka 250,000/=

Mwisho wa hadithi simu ikawa haipatikani aliporudi kwenye mtandao picha zimebadilishwa na sura nyingine. Alibaki hoi.
OOOhhhh! nitumie 50 elfu niingie saloon, kesho naanza safari, nitumie 70 elfu za nauli, kuna mafuta yangu huwa natumia sehemu za joto nitumie 25 elfu kudadadeki. kuja kushtuka 250,000/=.
 
Domo zege nini mkuu.. mademu wako wengi mtaani ukimbilia kwenye badoo
 
Huu mtandao mbona waliojiunga wengi no watu wenye shida kimaisha. Wasio na ajira,wasio na elimu, wenye kazi duni, mademu wengi wanafanya kazi saloon, bar hata zile za kishua lakini njaa ndio imetawala sana bin mizinga type hizo, akina mama was nyumbani wasio na shughuli, Kwa utafiti wangu in mademu choka mbaya hakuna mboga saba huko. Ni kwanini wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…