Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hii ya kutengeneza nywele nishaambiwa sana na Malaya mmoja huko wasap anaitwa viktoria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bora hela yako unge beti tuWakuu mi nimetuma 15000 nauli mpaka leo wiki ya pili bado namsubiri afike na cm yake haipatikani ila mungu anamuona....
Ndiyo mbinu yao kuu hiyo ya medani za kumpiga mtu.Hii ya kutengeneza nywele nishaambiwa sana na Malaya mmoja huko wasap anaitwa viktoria
Ukituma tu kimyaaa.
Mimi alinambia anaishi Kimbiji, sasa kila nikicheki GPS inasema yupo kama km2 tu toka nilipo, kwavile kichwa cha chini kilinizidi akili nikamtumia hela, sasa hiyo asubuhi kwenye saa 3 hv, ikafika saa 7 nikamuuliza vp hujafika bado Akajibu yupo kwenye pikipiki, ikafika saa 10 nikamuuliza tena hujafika Akajibu nipo kwenye pikipiki, nikasema duh! Nishaliwa[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijakuelewa swali lakoAhaaa upo wap kama huko wa badoo ni weng
Huyu nilichat nae juzi nikamwambia naweza ona picha zako, akajibu zinalipiwaMwingine huyo...View attachment 451099
Domo zege nini mkuu.. mademu wako wengi mtaani ukimbilia kwenye badooSitaki hata kusikia huu mtandao, nilipata rafiki picha zake kama mnyarwanda anajiita mwanahawa dooo akanililia shida elfu 30 ile kumtumia ndio Ukawa mwisho wa urafiki wetu simu hapokei mwisho zikawa hazipatikani kabisa namba zake ni hz huyu tapeli 0718870900 na 0684642067
Huna akili hv badoo kuna nyumba za kuishi? Au ni hao hao wa mitaani wako badoo?Domo zege nini mkuu.. mademu wako wengi mtaani ukimbilia kwenye badoo
Huna akili hv badoo kuna nyumba za kuishi? Au ni hao hao wa mitaani wako badoo?
Hahahahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14]