Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Siku hizi nasikia makahaba wana style Moja hivi...wanakula deal na reception so wanakuwa wanajua Nan kaingia single then ndo hvyo wanaigizaaa....so bro acha hzo mambo
 
Kama hujatunga basi wacha nikupe hongera.
 
Zama hizi sio za kuokota Apple chini ya mchungwa ndugu.. Mwanamke imara ajilegez, ukumbuke kwenda kuchek afya yako pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…