Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
huwa nikisafiri nakuwa na backup ya rough rider za kutoshaUmeokota Apple chini ya mpera mkuu. Ulitumia kinga lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwa nikisafiri nakuwa na backup ya rough rider za kutoshaUmeokota Apple chini ya mpera mkuu. Ulitumia kinga lakini?
Bora angekuwa na ngoma ungeweza kujikinga na hizo rough rider. Wengine ni majini mkuu baada ya muda litahitaji sana damu yakohuwa nikisafiri nakuwa na backup ya rough rider za kutosha
Kama hujatunga basi wacha nikupe hongera.Salaam wakuu,
Eeh bwana juzi nilikuwa na safari ambayo ilinitaka nitoke mkoani then nije DSM ndio nisafiri, sasa nikafikia lodge moja maeneo ya airport. Mida ya kama alasiri hivi nikiwa nimejipumzisha nikasikia mlango unagongwa ile kufungua nikakutana na demu akataka kuingia wakati simjui... Alivyoona namshangaa akauliza we si "xxxxx "!? Haraka haraka nikajua huyu hajui amekuja kukutana na nani nikamjibu YES! Akaingia nikajilia mzigo wala hata hana maswali ya kutaka kujua kama aliyekutana naye ni yeye au laah! Moja kwa moja nikajua huyu atakuwa alipanga apointment na jamaa yake through BADOO tuu... mitandao ya kijamii kwakweli ni shiiiiiiida.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] imekukera sana mdadaWanaume mna matatizo sana.
Hainikeri hata kidogo maana dyudyu ni lake na si la kwangu. Nashangaa tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] imekukera sana mdada