Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope


Kazi sana kukuelewa ulichoandika, bora ungeandika kuwa umemkuta BADUU.
Ebu jiongeze unipe id yake nikamkanye na atoke huko
 
Usiconclude moja kwa moja anaweza kuwa mtu mwingine baki anatumia tu picha yake, mimi kuna siku nilikua na vinyege mshenzi nikasajili faster kutumia picha ya mtu mwingine nikapata demu akaja nikafuta ile account ilikaa kwa saa moja tu, ila huyo binti nilitumia condom na hatukulana mate,
 
asante bro.....amekuelewa..
 
Tupeane mbinu
Na leo nahisi wanaweza kuja wawili kwangu mda sio mrefu asipokuwa waongo.. mmoja wa 40s mwingine wa 20s ndio naangalia nani atakuwa nanuelekeo na nauli situmi
 
Tupeane mbinu
Jisajili Badoo, uwe na account yako kule.

Kisha anza kulike picha za wadada. Ukilike watalike back kisha mnaanza kuchat mnahamia whatsapp hadi kitandani.

Kua makini kuna wengine wataanza kuomba hela ya kula sijui hawajala toka jana na mambo kama hayo ujue hayo ni madume.

Kuna wengine mkikubaliana kukutana atataka umtumie nauli,usitume hilo ni dume au malaya aliekubuhu. Akitaka nauli mwambie achukue bodaboda aje utalipa au uber kama uko maeneo ambayo uber inapatikana.

Pia wengi kule ni single moms hvyo hawana shida unajilia tu bila shida. Malaya waliokubuhu pia wako kule, siku hizi hawajipangi barabarani. Wengi wako mle, wake wa kuoa pia wanapatikana mle.

Mimi nakula demu wa badoo karibu kila siku. Kila siku nikihitaji nakula dem mpya toka badoo.

Karne hii ukisikia mtu amebaka ujue hana akili.
 
Na leo nahisi wanaweza kuja wawili kwangu mda sio mrefu asipokuwa waongo.. mmoja wa 40s mwingine wa 20s ndio naangalia nani atakuwa nanuelekeo na nauli situmi
Wengi wanaoomba nauli hua ni wanaume.. kua makini.

Kama anataka aje mwambie achukue boda boda aje utalipa.

Juzi nimeopoa mtoto mmoja toka badoo aisee anajua kuchezea mshedede, mkuu mtoto anachezea mashine kama amesomea chuo kikuu.
 
Reactions: lup
Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…