Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mkuu

Kuna mtoto nmemwambia nakupenda huko badoo na leo leo ananiomba pesa. Kwenye kudanga is real.

Anakupeleka chaka huyo sio wakuja, ukimtumia atakwambia amepanda gari mwisho wasiku anakwambia kaishiwa hela ya kula njian umuongezee wahivyo nikuwapotezea
 
Kama huyuView attachment Inst-video-5.mp4
 
Anakupeleka chaka huyo sio wakuja, ukimtumia atakwambia amepanda gari mwisho wasiku anakwambia kaishiwa hela ya kula njian umuongezee wahivyo nikuwapotezea
Nilimwambia atume picha ya muda ambao tunachati akaishia kujiuma uma. Kanitumia picha za mwaka jana.

Yaani baada ya kumwambia nampenda muda huo huo nimeanzwa kuitwa baby.
 
Reactions: lup
Anakuliza huyo wale wakweli hawana swaga hizo nahawatumi picha za uchi ukiona anakupigia mala kajibinua mala anakupigia video call akiwa uchi anajinyonya na kujirambaramba kama kenge ujue huyo sio
 
Ungesema bidhaa gani huenda na hapa wadau wapo
 
Sikuwahi kujua kama huu mtandao ni wa hivi, nilikuwa nikijua ni kama fb tu maana nako haya yapo. Nadhani mtoa mada hana uelewa wa kutosha, maana hata mitandao mingine watu wanaliwa tu kama ni malaya.
Mbona hata humu watu wanakuwa tu
 
Nilimwambia atume picha ya muda ambao tunachati akaishia kujiuma uma. Kanitumia picha za mwaka jana.

Yaani baada ya kumwambia nampenda muda huo huo nimeanzwa kuitwa baby.
Nambie mkuu
 
Anakuliza huyo wale wakweli hawana swaga hizo nahawatumi picha za uchi ukiona anakupigia mala kajibinua mala anakupigia video call akiwa uchi anajinyonya na kujirambaramba kama kenge ujue huyo sio
Nilishagaliwa 10000, kupitia ule mtandao wa pep..... kumbe nimetumia shoga sikuamini mzee
 
Naona hata Kwako pia mida bado so?
Hapana si unajua mambo yanapokuwa sio lazima itafute mda wa kuongea na mfalme wa wafalme.... ndio nimetoka ofisini kwake niko chumbani kwangu
 
Aisee Hongera mzee kwa kumukabizi mwokozi maisha yako
 
Reactions: lup
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…