TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
Mkuu
Kuna mtoto nmemwambia nakupenda huko badoo na leo leo ananiomba pesa. Kwenye kudanga is real.
Anakupeleka chaka huyo sio wakuja, ukimtumia atakwambia amepanda gari mwisho wasiku anakwambia kaishiwa hela ya kula njian umuongezee wahivyo nikuwapotezea