Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikubali sababu ya abroad sio?i met a man at badoo...2015 mwanzoni..haukua mtandao ulioshamiri umalaya kama sasa.
tulifahamiana ila mi mtt wa kike kwa kudengua na mapozi hadi nakera..nliunstall hiyo app but still mkaka ananitafuta tu plz j tuonane niwe rafiki ako...nkamzungusha wee baada ya miezi akaniambia mi naondoka naenda abroad kusoma.alupofika huko tukaendelea kuwasiliana akafunguka tuanzishe relationship.tukawa in distance relatipnship mwaka mzima..mwenyewe baadae akazingua.
but nlimpenda na alinipenda mno..ni mtu aliekua ananielewa sana.
hakuna namna tena.
uonavyo weweUlikubali sababu ya abroad sio?
nisharidii rudi badooo nikupe no [emoji12] [emoji12] [emoji12]i met a man at badoo...2015 mwanzoni..haukua mtandao ulioshamiri umalaya kama sasa.