Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

d4e058ac9f444d5506de52b68a1df916.jpg

Moja ya mitego tunayokumbana nayo badoo[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Lahaula
 
Huyo dada namfahamu vizuri sana anaitwa Zubeda alikuwa anaishi ilala kwa sasa amehamia mbagala nadhani, au kigamboni nimesahau, nataka kukwambia tu hapo umedanganywa kwa picha tu, huyu dada alikuwa anapenda kujaza mipicha yake mitandaoni, wenye kazi na picha wamechukua wamezifanyia kazi, ninayo mpaka namba yake na huwa naongea nae, mara nyingi sana napenda kuwaambia hawa dada zetu, kujaza mipicha yenu mitandaoni hamko salama, itakuja kutumika sivyo mtajuta
Kwaiyo anaitwa zubeda?
 
Kumbe hata tuliowagonga ni wanaume eeeh, kiufupi ndipo Malaya walipoamia, sema picha nyingi ni fake wamechukua picha za watu fb ndio wameweka kuna mama ni MTU mzima yupo Moro nimekuta picha zake nikashtuka nikamchokoza nikizani ni yeye kumbe loo ni jitu linajiuza kupitia picha zake na Huyo mama ana watoto wakubwa ni washkaj nataman nikawaambie jinsi picha za mama yao zinavyotumika vibaya kujiuza, mbaya zaidi kila akipost picha mpya fb Malaya anacopy ana paste badoo so ukiwa mjinga unaweza zani ndie akija ni MTU mwingine kabisaa
Umepitia wangapi kutoka badoo mkuu?
 
Back
Top Bottom