Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

Somo zuri lakueleweka Mtambuzi ila hao wanawake wakukuelewa sijui wako wapi?
Utafiti kwani somo hili limewahusu wananwake peke yao, mbona mi naona kama limetugusa sisi zaidi kuliko hao wananwake. Kwa mfano namba 1, 2, 3 na sita, chanzo ni sisi wanaume au?
 
yaani sijui nikuelezaje ila alichosema Mtambuzi ni kweli tupu

we acha tu mambo haya....
Tena amesahau namba saba, mwanaume ukimtuhumu sana mwanamke kuwa anacheat wakati sio, matokeo yake huwa anafanya kweli. Sababu, sifanya naambiwa nimefanya, bora nifanye kweli......
 
Mtambuzi uliyoyaandika ni kweli tupu..........


Kazi kwenu wanaume
 
Last edited by a moderator:
Thats what i meant. kucheat reşponsibly ni pamoja na sio tu kumfanya asijue, bali asihisi kabisa.

Za wake zetu hazitoshi????? Well K moja haijawahi kumtosha mwanaume mmoja. Hata kama huwa haijai.

u team B tu unawasumbua ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…