Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

ngoja wenye ndoa changa waje kukubishia hapa lol

tabu ya ndoa changa ni kudhani unajua kila kitu na mumeo/mkeo ni malaika
na wengine wote vimeo lol
Nimependa fact kwamba shem wangu Mtambuzi katumia sana neno INAWEZA, siyo guarantee.
Pamoja na kuwa na ndoa iliyokomaa, naweza bishana sana na shem wangu kwenye kipengele 2, na 3. hayo haya-apply kabisa kwangu. Namba 4 angeiandika kitofauti kidogo tu nayo ningekimbizana naye
 
Last edited by a moderator:

Ndoa changa mume kashacheat , ishakubuhu hiyo
 
Usiombe mwanamke akuchoke, hapo ndiyo utaijua shubili ya mapenzi.

Usiombe mwanamke akayazoe maumivu kutokana na yale mabaya unayomtendea na kupelekea maumivu, kisha akamwaga chozi lake, pasipo kulithamini ukarudia tena makosa yale yale, utajuta kubarehe na kuingia katika dunia ya mapenzi.

Nimekupenda burebure
 
Umeona eeh, sio guarantee hata kidogo.

Nimependa fact kwamba shem wangu Mtambuzi katumia sana neno INAWEZA, siyo guarantee.
Pamoja na kuwa na ndoa iliyokomaa, naweza bishana sana na shem wangu kwenye kipengele 2, na 3. hayo haya-apply kabisa kwangu. Namba 4 angeiandika kitofauti kidogo tu nayo ningekimbizana naye
 
Last edited by a moderator:
Nimependa fact kwamba shem wangu Mtambuzi katumia sana neno INAWEZA, siyo guarantee.
Pamoja na kuwa na ndoa iliyokomaa, naweza bishana sana na shem wangu kwenye kipengele 2, na 3. hayo haya-apply kabisa kwangu. Namba 4 angeiandika kitofauti kidogo tu nayo ningekimbizana naye

Umeona eeh, sio guarantee hata kidogo.

Ufafanuzi pliz. Uzoefu v/s Ubobevu...!
 
Usiombe mwanamke akuchoke, hapo ndiyo utaijua shubili ya mapenzi.

Usiombe mwanamke akayazoe maumivu kutokana na yale mabaya unayomtendea na kupelekea maumivu, kisha akamwaga chozi lake, pasipo kulithamini ukarudia tena makosa yale yale, utajuta kubarehe na kuingia katika dunia ya mapenzi.

hii n kwel aseee
 
UJUMBE MZURI SANA SHEM Mtambuzi ILA SASA NA. 3 NA 4 SIJUI KWANINI UJANYAMBULISHA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom