Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Uache ujuaji kijana, Wengine tunakula pepo na wanawake zetu na bado hatujafika level ya hao uliowataja.
 
Mkuu acha kuwatetea hawa supa women, ni kweli kuna wanawake wako vizuri sana binafsi sikatai ila majority wako hovyo....
 
Labda ni aina ya watu unaokutana nao au ni machaguzi yako.
Nakupa pole sana shemeji tena pole haswaaa.
 
Polee uliokutana nao ndo wamekupa huo uzoefu
 
Tukisema Tunaondoa Uke wa mwanamke, Je tunakubali na Kusadiki kile tunachosema hana mchango wowote ndani ya Mahusiano??

Tuondoe Ile Manhood kwa Mwanaume Je mwanaume atakuwa na cha Offer ktk jamii and Incoming Generation??
 
Kama hana mchango wowote unamtongoza wa nini si ukae na pesa zako, hicho akupacho ziambie pesa zikupe,

Mwanamke aliambiwa utazaa Kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho lake, tafuta pesa na walaji ndiyo hao hao wanawake, hata ukimpa dada yako naye ataenda kukapa kabwana kake huko weee zitafute tu Kwa bidii
 
kupitia kuchanua miguu ndo kulisababisha wewe kuwepo.

vipi kwa aliyekuzaa wewe tukisema na yeye ni Malaya pia, je itakuwa ni sawa?
Ndiyo katokea hapo hapo halafu anaona kitu cha hovyo, yeye hiyo sigara yake wakiiondoa atajiona mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…