Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Huwezi kumfananisha bimkubwa wangu na hawa makahaba wa miaka hii
Wewe enzi zao ulikuwepo? Kuna mtu anatafutaga history ya mbaya ya wazazi wake? Wengine hata hao ambao wanazani ni baba zao kumbe sio mama alienda kumvua sehemu nyingine kamleta nyumbani sema walikuwa wasiri sana na hakukuwa social media kama hivi leo
 
Wakati unaandika mambo mengi sana ya kejeli kwa wanawake mfikirie mama yako pia.

Lakini pia kumbuka Mungu hakuwa mjinga kumuumba mwanamke.
Dunia bila mwanamke ingekuwa na stress sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Bila mwanamke angezaliwa vipi hapa paka kuna jike ndiyo maana wanazaliana
 
NA KAMA KUNA MWANA MWINGINE ANAONEA WIVU WADADA AJIUNGE NAO BILA KUTUPIGIA KELELE HUKU
 
Ndiyo katokea hapo hapo halafu anaona kitu cha hovyo, yeye hiyo sigara yake wakiiondoa atajiona mtu?
Sijaona kwenye hiyo thread yake akimuongelea huyo mwanamke "ana mwanaume zaidi mmoja(wanaume wengi)". Hivyo kumuita malaya kwenye paragraph ya mwisho, thread yake inapoteza maana.

japo kwenye hizo hoja zake zingine uko juu sipingani nae.
 
kupitia kuchanua miguu ndo kulisababisha wewe kuwepo.

vipi kwa aliyekuzaa wewe tukisema na yeye ni Malaya pia, je itakuwa ni sawa?
Akuzae asikuzae haiondoni ukweli na uhalisia kuwa wanawake hawana mchango wowote.
 
Tukisema Tunaondoa Uke wa mwanamke, Je tunakubali na Kusadiki kile tunachosema hana mchango wowote ndani ya Mahusiano??

Tuondoe Ile Manhood kwa Mwanaume Je mwanaume atakuwa na cha Offer ktk jamii and Incoming Generation??
Umeuelewa uzi?
 
Kama hana mchango wowote unamtongoza wa nini si ukae na pesa zako, hicho akupacho ziambie pesa zikupe,

Mwanamke aliambiwa utazaa Kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho lake, tafuta pesa na walaji ndiyo hao hao wanawake, hata ukimpa dada yako naye ataenda kukapa kabwana kake huko weee zitafute tu Kwa bidii
Kasome kwanza sifa za mke mwema kwenye METHALI 31:10-31 halafu ulinganishe na hoja yako
 
Ukitoa 'K' mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano.

Kwenye birthday yake ulimnunulia zawadi, hela ya salon na kumtoa outing,

Kwenye birthday yako zawadi anayokupa ni kukuchanulia mapaja na kukupa uchi.

Siku ya sikukuu ulimnunulia nguo mpya, wig, hela ya salon na vizawadi vya hapa na pale,

Kama kawaida zawadi yake kwako ni kuchanua mapaja na kukupa K.

Siku ya wapendanao ulimpea pesa, maua na dinner moja matata,

Tena kama kawaida yake zawadi ni ileile kukupea tupu yake.

Atakuomba pesa ya matumizi, vocha, gesi, king'amuzi n.k yeye atakupea mbususu kama asante.

Umemuoa amekua mke wako bado hana mchango wowote kwenye familia na ndoa,

Mchango wake tena ni uleule uchi!!

Siku ukimpiga chini utamsikia "hivi yote niliyokufanyia leo ndio unanitenda hivi? Ipo siku utanikumbuka."

Hivi malaya kama huyu ana mchango gani mpaka awe na nguvu ya kusema hivyo yaani kunipa uchi ndio yote aliyonifanyia eti nimkumbuke kisa mbususu used [emoji28]
Sio kwamba mwanamke hana mchango lahasha unakosea sana
Me naona tatizo lipo kwako ww kuhangaika na wadangaji wa siku hizi badala ya kuoa na kuhudumia familia...

Mwanaume kiasili kaumbwa kumhudumia mwanamke na Kisha kusaidiana kulea watoto waliowapata ila ni kwa aliyemuoa tu na si kuparamia kila mwanamke utapata tabu sana na kuja huku JF kulalama kama kijana anayemtegemea shemeji yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sa
Ukitoa 'K' mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano.

Kwenye birthday yake ulimnunulia zawadi, hela ya salon na kumtoa outing,

Kwenye birthday yako zawadi anayokupa ni kukuchanulia mapaja na kukupa uchi.

Siku ya sikukuu ulimnunulia nguo mpya, wig, hela ya salon na vizawadi vya hapa na pale,

Kama kawaida zawadi yake kwako ni kuchanua mapaja na kukupa K.

Siku ya wapendanao ulimpea pesa, maua na dinner moja matata,

Tena kama kawaida yake zawadi ni ileile kukupea tupu yake.

Atakuomba pesa ya matumizi, vocha, gesi, king'amuzi n.k yeye atakupea mbususu kama asante.

Umemuoa amekua mke wako bado hana mchango wowote kwenye familia na ndoa,

Mchango wake tena ni uleule uchi!!

Siku ukimpiga chini utamsikia "hivi yote niliyokufanyia leo ndio unanitenda hivi? Ipo siku utanikumbuka."

Hivi malaya kama huyu ana mchango gani mpaka awe na nguvu ya kusema hivyo yaani kunipa uchi ndio yote aliyonifanyia eti nimkumbuke kisa mbususu used 😅
sanaa
 
Back
Top Bottom