Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

all 0lPote upo sahihi Ila hapo tu yaani nimpe mwanamke wangu mimba baadaye akawinde akiwa na mimba ama akiwa na kichanga ndipo aje ale apate maziwa mtt wangu anyonye. I feel proud nikawinde porini nimletee food ale. Labda kama wewe your inner instincts and gut feelings zinakuambia ivyo just do according to your inner voice
Hivi ndio tunakuwa kwenye forces of nature humo. Mwanamke kimsingi anatakiwa abebe mimba na kulea at her own premise. Hivi ndiyo ilivyo asili ya wanyama. Huwezi kuta simba dume anawinda wakati majike yapo.

Ila tukifata utashi wa kibinadamu ndio tukaletewa kitu kinaitwa family. Hapa kunakuwa na baba na mama ambapo mama anazaaa watoto na baba anatunza mama na watoto wake. Hii ndio mantiki ya familia kiasili na mama anahusika na shughuli za kulea watoto nyumbani tu pamoja na kumcomfort baba tu.
 
Wengi wanaume wanaoana na wanawake ama wanaolewa. Ila Hawaoi. Kama umeoa corporate lady kubali consequences zake the same applied to mama wa nyumbani.
Mana corporate lady naye anakusadia kuwinda na kuleta mnyama nyumbani. Anaweza akatoka ghafula akiambiwa Kuna nyumbu wameonekana wamezagaa mahala chapu anatoka hata bila ya kukuaga akirudi na paja la nyumbu na wewe kubali kuwasha Moto ulikate uliweke jikoni. Do according to your own instincts,gut feelings or inner voice.
 
""""Umemuoa amekua mke wako bado hana mchango wowote kwenye familia na ndoa,""""

hapa ndugu yang nakukataa mwanamke wa mahusiano na mke halali ni watu wawil tofaut kabisa mwanamk ndan ya nyumba hata km hana kaz lkn atabeba majukum ya kuangalia watoto wako na pamoja ba ww kukupikia labd uwe umepata mwanamke mpumbaf

Ila kuna wanawake wallah wanaojielewa hakuna asiependa raha ya sex lkn bado kuna ile uthamani mtu anakuonyeshea....mm na-appreciate wanawake wenye kujielew na kujua uthaman na heshima kwa waume zao na sio kuchanua mapaja tu hakuna asiechanua mapaja labd awe malaika
 
Ukiwa less of a man maanake hutaweza kumsimamia mkeo. Utakubali akuburuze. Mi bibie anaenda job ila akirudi lazma apike na kufanya mishe zote kama mke. Siwezi kukata nyanya au kukuna naxi yeye akiwepo na hilo analijua.😂
Wengi wanaume wanaoana na wanawake ama wanaolewa. Ila Hawaoi. Kama umeoa corporate lady kubali consequences zake the same applied to mama wa nyumbani.
Mana corporate lady naye anakusadia kuwinda na kuleta mnyama nyumbani. Anaweza akatoka ghafula akiambiwa Kuna nyumbu wameonekana wamezagaa mahala chapu anatoka hata bila ya kukuaga akirudi na paja la nyumbu na wewe kubali kuwasha Moto ulikate uliweke jikoni. Do according to your own instincts,gut feelings or inner voice.
 
Ukiwa less of a man maanake hutaweza kumsimamia mkeo. Utakubali akuburuze. Mi bibie anaenda job ila akirudi lazma apike na kufanya mishe zote kama mke. Siwezi kukata nyanya au kukuna naxi yeye akiwepo na hilo analijua.😂
Mwingine anavimba anachukua part ya majukumu yako,Sasa utambabaisha nini
 
sasa ulitaka akuchanulie mbavu? wanaume wa skuizi mmekuaje
kwahiyo mama ako hakua na msaada zaidi ya kuchanua? au alikuzaa baba ako?
asingechanua ungekua hapa unakashifu jinsia nzima?
hio ni nature kama huoni namna inavyofanya kazi na kutegemeana katika mazingira basi fanya vitu vingine mkuu
 
It's easy weeds to germinate than wheat.
Hii ya kulalamika imetokea tu kwa binadamu ama hata swala dume ,jogoo analalamika pia kuwa majike hawamsaidii kitu. Hii Ni nature mwanamke ameumbwa kupokea ndio Mana hata umbile lake la uke linapokea uuuume ndani,sperms linaingia yai tunaumbika.
Tokea kuumbwa kwa dunia mwanamke alitoa sex na watoto Kama wanahitajika. Hii iweke kichwani mwako hata kwa kuichomelea na Moto wa umeme wa nyuklia.

Jogoo mabawa na kucha zake Ni kubwa mno kuliko mtetea.

Mwanaume mabega na kifua Ni kipana na mwanamke kiuno Ni kipana pia. Labda kama mnataka mbadlishe.
Kiasilia mwanamke anatakiwa alee watt cheki hata kuku anavyolea vifaranga.
Nimesema kiasilia ama nature Ila unaweza ukaenda against nature na utapata sababu za kukusapotii.
Peleka naseri watt waongee English na walelewe na hausegeli waanze kulishwa uchi wa hausegeli.

Mungu alituweka duniani akasema tuzaliane Sasa wewe pingana na nature labda unaweza ukaumba dunia yako.

Swala dume ana kambi ya majike 30 yeye anatafuta malisho wanakula huku yeye akigonga ke 30. Jogoo Kuna muda unaweza unadhani kuwa Hali ama hapati njaa ,Yuko bize kumlisha jike ili amkule.
Ila Naona hajawahi lalamika
Sio wanyama wote au ndege wanahudumia majike. Jogoo kazi yake kusambaza mbegu , na simba vilevile. Nao wanatofautiana.
 
Back
Top Bottom