Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Mwanamke masikini
Singo maza.
Ombaomba.

Hawa sio wazuri kwa Afya ya mahusiano

Huwa nashangaa vijana masikini kukimbilia singo maza, au mwanamke masikini, au ombaomba.
 
huenda huna akilia
au huenda unakutana na wanawake wa hovyo
au huenda hata aliekuzaa ni wa hovyo
au huenda ww mwenyewe ni wa hovyo.....

hakuna binadamu asie na thamani unaposema mchango unataka upewe pesa mwanaume? au nyie ndio wale mnaliwa na wanaume wenzenu kwaakua unaona mwanamke hana cha kukupa unachanua kwa mwanaume ili upate mchango


hizi akili niza kilaza mmoja aliekuzwa na singo maza asiejielewa
 
Oya we jamaa apa nna siku 3 hatusemeshani na mama mjengo tifu humo ndani ila zawadi yake tu kunizalia na kunitunzia wanangu inatosha kumpa kila analohitaji without any reservations 4 the rest of my life. Naunga hoja ila kwa michepuko na madem holela ila wake ni special (si ulimchagua mwenywe, si ulioa kwa hiari, si ulijua kuna majukumu ya kubeba?) Ndio mana automatically ata wee unamtetea bi mkubwa wako coz alikua mke sio changu au shangingi.

Aisee me naonaga ufahari sana kumpa pesa au zawadi Mama yangu na wife somehow it fills me up
 
Pote upo sahihi Ila hapo tu yaani nimpe mwanamke wangu mimba baadaye akawinde akiwa na mimba ama akiwa na kichanga ndipo aje ale apate maziwa mtt wangu anyonye. I feel proud nikawinde porini nimletee food ale. Labda kama wewe your inner instincts and gut feelings zinakuambia ivyo just do according to your inner voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…