Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Hivi ndio tunakuwa kwenye forces of nature humo. Mwanamke kimsingi anatakiwa abebe mimba na kulea at her own premise. Hivi ndiyo ilivyo asili ya wanyama. Huwezi kuta simba dume anawinda wakati majike yapo.

Ila tukifata utashi wa kibinadamu ndio tukaletewa kitu kinaitwa family. Hapa kunakuwa na baba na mama ambapo mama anazaaa watoto na baba anatunza mama na watoto wake. Hii ndio mantiki ya familia kiasili na mama anahusika na shughuli za kulea watoto nyumbani tu pamoja na kumcomfort baba tu.
 
Wengi wanaume wanaoana na wanawake ama wanaolewa. Ila Hawaoi. Kama umeoa corporate lady kubali consequences zake the same applied to mama wa nyumbani.
Mana corporate lady naye anakusadia kuwinda na kuleta mnyama nyumbani. Anaweza akatoka ghafula akiambiwa Kuna nyumbu wameonekana wamezagaa mahala chapu anatoka hata bila ya kukuaga akirudi na paja la nyumbu na wewe kubali kuwasha Moto ulikate uliweke jikoni. Do according to your own instincts,gut feelings or inner voice.
 
""""Umemuoa amekua mke wako bado hana mchango wowote kwenye familia na ndoa,""""

hapa ndugu yang nakukataa mwanamke wa mahusiano na mke halali ni watu wawil tofaut kabisa mwanamk ndan ya nyumba hata km hana kaz lkn atabeba majukum ya kuangalia watoto wako na pamoja ba ww kukupikia labd uwe umepata mwanamke mpumbaf

Ila kuna wanawake wallah wanaojielewa hakuna asiependa raha ya sex lkn bado kuna ile uthamani mtu anakuonyeshea....mm na-appreciate wanawake wenye kujielew na kujua uthaman na heshima kwa waume zao na sio kuchanua mapaja tu hakuna asiechanua mapaja labd awe malaika
 
Ukiwa less of a man maanake hutaweza kumsimamia mkeo. Utakubali akuburuze. Mi bibie anaenda job ila akirudi lazma apike na kufanya mishe zote kama mke. Siwezi kukata nyanya au kukuna naxi yeye akiwepo na hilo analijua.😂
 
Ukiwa less of a man maanake hutaweza kumsimamia mkeo. Utakubali akuburuze. Mi bibie anaenda job ila akirudi lazma apike na kufanya mishe zote kama mke. Siwezi kukata nyanya au kukuna naxi yeye akiwepo na hilo analijua.😂
Mwingine anavimba anachukua part ya majukumu yako,Sasa utambabaisha nini
 
sasa ulitaka akuchanulie mbavu? wanaume wa skuizi mmekuaje
kwahiyo mama ako hakua na msaada zaidi ya kuchanua? au alikuzaa baba ako?
asingechanua ungekua hapa unakashifu jinsia nzima?
hio ni nature kama huoni namna inavyofanya kazi na kutegemeana katika mazingira basi fanya vitu vingine mkuu
 
Sio wanyama wote au ndege wanahudumia majike. Jogoo kazi yake kusambaza mbegu , na simba vilevile. Nao wanatofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…