Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Kijana usitukatishe tamaa huo ni uwekezaji kama uwekezaji mwingine wowote
 
Mleta mada agiza Heineken za bariidi naja kulipa poza koo kwa point ulizotoa
 
Mabaharia hao hawanaga mchezo kabisa. Yaan wanakula wake za watu wakutosha. Halaf ni wale wnwake ambao ukiwacheki wana hudumiwa vizur na waume zao.
Na jamaa wa toyo wanawanufaika Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanadai ndivyo walivyoumbwa, kwamba wanakinai, wanapoteza mvuto kwa mwanaume kirahisi, wanapenda vitu vizuri na vitamu kila wakati ambavyo kwa mwanaume wa kila siku hutaweza mfanikishia, lazima tu watatafuta sababu fulani inayowafanya wakose raha, au wanaoikosa au wewe huwezi kuwatumikia....Swala ndiyo upate asiyekuwa na hayo, ama sivyo imekula kwetu wanaume maisha...
 
Mbona wanawake huwa mnawaambia hata waume zao wawakosee kiasi gani wasisitishe heshima na mahaba yao kwao ila ninyi wake zenu wakiwakosea kidogo tu mnasitisha mapenzi na huduma zenu kwao inaingia akilini kweli hiyo?
Kuna mwanamke mwengine ataasipokuomba hela unajikuta wewe mwenyewe ndo unampa Sasa wewe unataka nigharamie kwa mwanamke mwenye akili fupi ili iweje?
 
Uwezo wa mje ya mtu kivipi? Kwani hamjui kuwa mwanaume ndiye aliyeambiwa atakula kwa jasho lake lakini mwanamke hakuambiwa hivyo? Ni jukumu la mwanaume kumhudumia mwanamke wake kiuchumi ila sema wanawake wa siku hizi tunawasaidia tu basi ndiyo mmeshaona dezo mteremko

Mmejisahau kwamba ni jukumu lenu na mmetusukumizia sisi mbona hadi leo jukumu la kufanya kazi za ndani linaoneokana ni la mwanamke peke yake ila jukumu la kutafuta pesa eti limeshaonekana ni la wote na wanaume mnadai kabisa na sisi tuanze kuwapa pesa ila sisi tukiwaambia na ninyi muanze kufanya kazi za ndani mnasema tuna dharau
 
Khe oneni ajabu hii yaani ukiwa malaya ndiyo haupati ukimwi ila ukiwa na mmoja ndiyo unapata? Hivi wanaume mmetuona wanawake mapoyoyo sana kwamba tunaweza tukaamini kila sababu mnazotoa kutetea umalaya wenu?

Kuweni kama wanawake wanaofanya kimya kimya huku wakijua kabisa kuwa ni kosa kuliko ninyi wanaume mnaojua kabisa mnafanya kosa halafu mnapata na ujasiri wa kujitetea kubalini tu kwamba ni kosa msitafute sababu za kujitetea ambazo hata mtoto mdogo anaona kabisa ni za kijinga
Wee kwani ukigegeda ndio lazima ubadilishe damu....tena bora ugegede malaya chances za kubadilisha damu ni ndogo kuliko jkitulia na mmoja
 
Kwahiyo wewe ulitakaje? Ulitaka wanawake wote duniani wawe decent?
Hapana sio wote wako hivyo! wapo wanawake decent wengi tu ambao hawako hivyo!

nilichoandika mimi ni kutokana na personal experience.
 
Tunachotaka ni muache kutupa lawama kwa wanawake tu wakati mnajua kabisa kuwa hata wanaume nao wana maovu yao
Kwa mujibu wa hiyo comment niliyoijibu wanawake wengi niliokutana nao hawajielewi! sasa kama na wewe umekutana na wanaume wasiojielewa basi sikubishii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…