Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 851
Labda nikwambie kitu!
Mwanaume ni rahisi sana kumchukulia serious mwanamke bila kuwepo na condition yoyote ile. Lakini mwanamke ni nadra sana kumchukulia serious mwanaume ambaye hana chochote cha ku offer!
Mara nyingi mwanamke ana mpa muda wake na attention mwanaume ambaye ni beneficial kwake kwa maana ya kumpa vimisaada vya hapa na pale uhususani hela. Na siku misaada hyo ikikata unakuwa ndio mwisho wa kumchukulia serious mwanaume huyo.
Nafahamu sio wanawake wote wako hivyo, lakini sasa hao ambao hawako hivyo ni wangapi ukilinganisha na waliko hivyo?! kwa experience yangu mimi wengi wako hivyo.
Cha msingi ninachokifanya sasa hivi ni kujijali kwanza mimi, yaani na mtreat mtu kulingana na alivyoanza kunichukulia.
Kama nimekutoa Bikra nitakupa chochote kwa kadiri ya uwezo wangu.
Nitakuhonga pesa ndogo ndogo. Laki tano hazitacheza mbali na Pochi yako.
Wakuu kama kuna mwanamke ulimtoa bikra au uliwatoa bikra. Watafuteni muwape pesa.
Bikra ni chanzo cha kusafisha nyota Mkuu.
Lakini ukitaka kujitia Mikosi na majanga tafuta haya manunga embe.
Yaani litakufilisi mpaka ukome. Mambo mengi yatasimama.
Ukioa limwanamke lisilo na bikra unachafua nyota yako. Yaani hutaenda popote kimaisha.
Kama unamagari mawili basi ulipaswa uwe na magari kumi. Ila huyo Mwanamke ndiye amekuzibia nyota yako.
Matajiri wote wanajua hii habari ya bikra. Wengine wasiooa mabikra ndio huwalaghai mabinti na kutoa bikra zao ili kuendeleza utajiri wao.
Watakaonielewa ni Wachache.
Jeff Bezos tajiri namba 1 duniani naye alitalakiana mwanzoni mwa mwaka huu huu, ngoja akina Marrianah wazidi kukariri kuwa pesa ndiyo kila kitu.
Edelyn katika jina jingine hahaaa...we usipoolewa na mimi basi Wanaume watanyanyasika tu kwako, yani unahitaji kuwa na Kidume kama mimi ili nikutibu matatizo yako kimahaba na kisaikolojia [emoji4]
DUH!!!
Mkuu niko tayari kutoa ushirikiano kadri ya uwezo wangu wote nilionao katika kutimiza hili unalosema hapa!
Ukimtuliza huyu mwanamke utakuwa umefanya jambo kubwa kijamii.
Nyie wote baba yenu mmoja
Hata Mimi ntatoa ushirikiano inabidi anyamazishwe huyu Dada apumzke kdogo
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Naona unajitia kumjua mtu usiyemjua[emoji3]
Mimi simjui
Wanawake wenzio watakuja kukusupport kwa hii hoja.
Hivi wale wanawake tunaowaona wanaanza na wanaume kuanzia chini hadi wanakuja kufanikiwa wote wanapatikana sayari gani vile?Hii comment itakuwa imeandikwa na mwanamke kutoka sayari ya Mars
kwa mwanaume wa karne hii kuwa na pesa ni kila kitu na hata nguvu za kiume zinakuja maana hutakuwa na stress utakula vizuri na hata zikipungua utanunua dukani na unajitibu, pia pesa itakusaidia kuwaweka karibu yako ili uongeze ujuzi wa kuwagonga ili waendelee kuja ila usitegemee kupendwa...all we need is money and dickYour manipulation game is too old!
kwamba unasisitiza wanaume watafute kwanza hela wakishazipata ndio waanze kufikiria wanawake, wanawake hao hao ambao ukiwahonga Iphone X wanaitumia kutuma picha za uchi kwa vi-boyfriend vyao vya zamani vilivyowatoa bikra, wanawake hao hao ambao ukiwahonga IST wanaigeuza gest kwa kugongewa na visharobaro vyenye six packs, wanawake hao hoa ambao ukiwapangishia apartment wanaligeuza danguro na siku ukitaka kuja anakwambia umpe taarifa kwanza ili usije ukajionea maajabu.
Nyie watu hamna jema!! nawahurumia tu wanaume ambao bado wana waamini na kufuata ushauri wenu kama huu unaoutoa hapa! eti tafutenj hela..[emoji23][emoji23]
Huo u-hitler wenu mnautafutia tu sababu hamna loloteWanawake wanataka uwe na U-hitler hapo ataenda tu
Sasa hapo mbona umetaja sifa za wanaume? Hivi wanaume maovu yenu hamyaoni au?Wanadai ndivyo walivyoumbwa, kwamba wanakinai, wanapoteza mvuto kwa mwanaume kirahisi, wanapenda vitu vizuri na vitamu kila wakati ambavyo kwa mwanaume wa kila siku hutaweza mfanikishia, lazima tu watatafuta sababu fulani inayowafanya wakose raha, au wanaoikosa au wewe huwezi kuwatumikia....Swala ndiyo upate asiyekuwa na hayo, ama sivyo imekula kwetu wanaume maisha...
Hawa wanaume wanaolalamika kuwa hawawajui wanawake ni mabikira siyo?Hahahaha wanawake ni kama vocha huwajui hadi uwakwangue
you hit the ball mkuu
huu ndio ukweli wanawake wengu wana stress sana na ndio chanzo cha ugomvi kwenye mahusiano
ukiona mtu anapesa halafu anateswa na mapenzi ujue kaanzia mapenzi ukubwani huyo na hajapitia mikiki mikiki ya mapenzi...mwanaume akisha penda akapitia shuruba za hapa na pale basi amemaliza atakayekuja manamke yeyote yule hawezi kumkaa kichwano halafu ujumlishe na pesa ...huyo ni mpumbavu anakuwa kwama mwanamke ,maana mwanamke atatendwa leo kesho anakuwa na mwanaume mwingine na yeye anamwamini asilimia mia anatendwa tena anahamia kwa mwingine na anasahau kabisa...kuja kukituliza unakuta ana watoto wa 3 na mama mtu mzima anakuwa muhamasishaji wa haki za wanawakewanateseka sanaaaa wenye pesa
Hahahaha mi sijawaelewaHawa wanaume wanaolalamika kuwa hawawajui wanawake ni mabikira siyo?