Shaffihsiraji
Senior Member
- Dec 15, 2018
- 160
- 120
Ndicho ulichoona ni rahisi kwako kutafuta, wanaume wengi wa bongo mnapenda mteremko hamtaki shida
Ni kweli nimetumwa na mapenzi ya dhati ili nikutibu unachoumwa MamaHuyo naye sijui katumwa
Sisi sio Kama nyie
hapana sijawaponda au sijakuponda ila nadhani wanaume huwa hawana muda wa kuweka vinyongo kwenye akili mwanamke anaweza kuwa kwenye mahusiano miaka mitatu au miwili iliyopita ila akipata mwanaume mpya ana anza kumpelekesha na kukasirika kila mara kwasababu ya aliyopitia na mtu mwingineYaani wanawake tukiwaponda wanaume tuna stress ila wanaume mkiwaponda wanawake ni sawa? Kazi ipo!
HiiiNaomba pole ya ukweli(vitendo) wala sii hii ya kinafki(maneno tupu) Mamaangu [emoji39]
Ndiyo kwanini uchague kumpa mapenzi na usichague kumpa pesa? Si kwa sababu unajua mapenzi ni rahisi kutoa kuliko pesa kwa vile mapenzi hayatafutwi kama pesa?Tatizo nyinyi hamueleweki mnachotaka nikiwa na Pesa mapenzi unapewa na mwingine bora mwingine akupe Pesa mi nakupa mapenz
namba 11 hapo ndio huwa mnafeli wakina dada au wanawake kila kitu unachofanyiwa basi akili ina fyatua malipo ni kugawa uchi.1. Wanawake wanaotoa mimba au wanaoua watoto hawana tofauti na Wanaume wanaokataa mimba au wanaotelekeza watoto
2. Wanawake wasagaji hawana tofauti na Wanaume mashoga
3. Wanawake wanaokataa Wanaume kwa sababu ya umasikini (wa pesa na mali) hawana tofauti na Wanaume wanaokataa Wanawake kwa sababu ya ubaya (wa sura na umbo)
4. Wanawake wanaowaacha Wanaume waliowasomesha hawana tofauti na Wanaume wanaowaacha Wanawake waliochuma nao mali
5. Wanawake wanaochepuka hawana tofauti na Wanaume wanaochepuka
6. Wanawake wanaojiuza hawana tofauti na Wanaume wanaowanunua
7. Wanawake waliozaa nje ya ndoa hawana tofauti na Wanaume waliozaa nje ya ndoa
8. Wanawake wanaotaja sifa za Wanaume wanaowataka hawana tofauti na Wanaume wanaotaja sifa za Wanawake wanaowataka
9. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kutafutiwa pesa) na Wanaume wao hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kulelewa (kufanyiwa kazi za ndani) na Wanawake wao
10. Wanawake wanaopenda kutembea na mijibaba au sugardaddies hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kutembea na mijimama au sugarmummies
11. Wanawake wanaofuata pesa tu kwa Wanaume hawana tofauti na Wanaume wanaofuata papuchi tu kwa Wanawake
12. Wanawake wanaotembea na Waume za watu hawana tofauti na Wanaume wanaotembea na Wake za watu
Niendelee?..
Haya hayo yote ni maovu yanayofanywa na baadhi ya Wanawake na Wanaume ulimwenguni kote tumeona kwamba jinsia zote zina maovu yake na yanalingana sasa kwanini ninyi mnaona kama vile ya kwetu ni mengi na makubwa sana ila ya kwenu ni machache na madogo sana kwanini?
CC: Extrovert Lizarazu Khan Jokajeusi ruby garnet et al
sasa kama mtalimbo umelala unawatongoza wanawake ili iweje ??Sasa una hela halafu mtarimbo umelala doro lazima wenye mipini yao wakusaidie wewe endelea kutoa faranga tu
Ni kweli nimetumwa na mapenzi ya dhati ili nikutibu unachoumwa Mama
Sasa mbona hapo umewaongelea wanaume badala ya wanawake? Kwani ni wanawake wangapi wanaachwa kila siku na bado wanaendelea kuwa na wanaume na wanawapa mapenzi yote na ni wanaume wangapi wakishaumizwa mara moja basi wanawake wote atakaowatongoza baada ya hapo wakamkubali wanakoma? Au hayo mambo tukiyafanya wanawake ni kosa ila mkiyafanya wanaume ni sawa? SMH!hapana sijawaponda au sijakuponda ila nadhani wanaume huwa hawana muda wa kuweka vinyongo kwenye akili mwanamke anaweza kuwa kwenye mahusiano miaka mitatu au miwili iliyopita ila akipata mwanaume mpya ana anza kumpelekesha na kukasirika kila mara kwasababu ya aliyopitia na mtu mwingineView attachment 1187378
namba 11 hapo ndio huwa mnafeli wakina dada au wanawake kila kitu unachofanyiwa basi akili ina fyatua malipo ni kugawa uchi.
kama wewe ndio umeandika hiyo inabidi utoe mindset kila kitu ukifanyiwa basi wewe lazima ugawe jijenge fikra ukikopeshwa lipa ukifanyiwa hiki shukuru tambaa zako au uwe na time sasa mtu kakukopesha hutaki kurudisha unataka ulete mvutano mpaka uombwe papuchi.
sio sahihi.
*Kwanini mliongea na shetani pale bustanini Eden?1. Wanawake wanaotoa mimba au wanaoua watoto hawana tofauti na Wanaume wanaokataa mimba au wanaotelekeza watoto
2. Wanawake wasagaji hawana tofauti na Wanaume mashoga
3. Wanawake wanaokataa Wanaume kwa sababu ya umasikini (wa pesa na mali) hawana tofauti na Wanaume wanaokataa Wanawake kwa sababu ya ubaya (wa sura na umbo)
4. Wanawake wanaowaacha Wanaume waliowasomesha hawana tofauti na Wanaume wanaowaacha Wanawake waliochuma nao mali
5. Wanawake wanaochepuka hawana tofauti na Wanaume wanaochepuka
6. Wanawake wanaojiuza hawana tofauti na Wanaume wanaowanunua
7. Wanawake waliozaa nje ya ndoa hawana tofauti na Wanaume waliozaa nje ya ndoa
8. Wanawake wanaotaja sifa za Wanaume wanaowataka hawana tofauti na Wanaume wanaotaja sifa za Wanawake wanaowataka
9. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kutafutiwa pesa) na Wanaume wao hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kulelewa (kufanyiwa kazi za ndani) na Wanawake wao
10. Wanawake wanaopenda kutembea na mijibaba au sugardaddies hawana tofauti na Wanaume wanaopenda kutembea na mijimama au sugarmummies
11. Wanawake wanaofuata pesa tu kwa Wanaume hawana tofauti na Wanaume wanaofuata papuchi tu kwa Wanawake
12. Wanawake wanaotembea na Waume za watu hawana tofauti na Wanaume wanaotembea na Wake za watu
Niendelee?..
Haya hayo yote ni maovu yanayofanywa na baadhi ya Wanawake na Wanaume ulimwenguni kote tumeona kwamba jinsia zote zina maovu yake na yanalingana sasa kwanini ninyi mnaona kama vile ya kwetu ni mengi na makubwa sana ila ya kwenu ni machache na madogo sana kwanini?
CC: Extrovert Lizarazu Khan Jokajeusi ruby garnet et al
Hiii
Hapo umezungumzia swala lililo nje ya uwezo wa mtu kwa maana maumbile ni zaidi ya uwezo wa mtu lakini swala la kua na pesa hilo lipo ndani ya uwezo wa mtu either kuamua kuzitafuta au kutozitafuta hivyo swala la shepu?matiti mazuri lipo nje ya uwezo wa mtu...Mkuu, kwani wanaume mnapotaka wanawake wenye matiti mazuri na makalio makubwa ninyi huwa mnakuwa nayo?
Mke halali ndo anaetakiwa kuhudumiwa sio hawala,mpenzi au girlfriend mtu aliewekwa ndani na mwanaume ndo anaestahili kuhudumiwa tofauti na hapo ni fadhila tu mtu anapewa ili aweze kua na mtu huyo ndo maana unaona mwanamke akiachwa kinachomuuma sana ni kuzikosa zile huduma alizokua akipewa sio mapenzi au nini ni huduma i.e. kulipiwa kodi, hela za shopping etcUwezo wa mje ya mtu kivipi? Kwani hamjui kuwa mwanaume ndiye aliyeambiwa atakula kwa jasho lake lakini mwanamke hakuambiwa hivyo? Ni jukumu la mwanaume kumhudumia mwanamke wake kiuchumi ila sema wanawake wa siku hizi tunawasaidia tu basi ndiyo mmeshaona dezo mteremko
Mmejisahau kwamba ni jukumu lenu na mmetusukumizia sisi mbona hadi leo jukumu la kufanya kazi za ndani linaoneokana ni la mwanamke peke yake ila jukumu la kutafuta pesa eti limeshaonekana ni la wote na wanaume mnadai kabisa na sisi tuanze kuwapa pesa ila sisi tukiwaambia na ninyi muanze kufanya kazi za ndani mnasema tuna dharau
Ndo usiwachukulie serious....Ukimnunulia gari...kuna mtu anamsugu Kucha na chupi atamvua.Wao wanasema wanataka pesa bro.
Hapana umekosea, chanzo cha maovu yote ni nyoka, nyoka ndiye aliyekubali kutumika na shetani ndipo akamshawishi Evah kula tunda na hatimaye Adam*Kwanini mliongea na shetani pale bustanini Eden?
*Kwa style hiyo unadhani ni yupi kati ya Mwanaume na Mwanamke ni chanzo cha maasi duniani?
*Ni yupi yupi kati ya Mwanaume na Mwanamke ni rafiki wa karibu sana na shetani?
*Kwanini Wanawake wengi sana husumbuliwa na mapepo?
*Kwanini Wanawake huwa wanaongoza sana kuhangaika kwa waganga wa kienyeji kutafuta dawa za mapenzi ili wawatawale Wanaume?
Correction: ADAM HAKUPEWA ADHABU (ILILAANIWA ARDHI BADALA YAKE)Hapana umekosea, chanzo cha maovu yote ni nyoka, nyoka ndiye aliyekubali kutumika na shetani ndipo akamshawishi Evah kula tunda na hatimaye Adam
Kama mwanamke ndiyo chanzo jiulize kwanini Mungu alianza kumpa adhabu nyoka ndipo akafuatia na Adam na Evah?
Halafu huo msemo wenu naona siku hizi umekuwa ndiyo defensive mechanism yenu kidogo tu utasikia mwanamke aliongea na shetani
Jibu ni rahisi sana mwanamke alijua anaongea na nyoka kwa sababu shetani hakuja kwa umbo lake bali alikuja kupitia nyoka sasa unadhani mwanamke alijua?
Oohh kwahiyo unamaanisha hata anayetakiwa kuheshimiwa na kufanyiwa kazi za ndani ni mume na siyo mpenzi si ndiyo? Sasa mbona wanaume wengi mnataka mfanyiwe hayo kwenye uchumba?Hapo umezungumzia swala lililo nje ya uwezo wa mtu kwa maana maumbile ni zaidi ya uwezo wa mtu lakini swala la kua na pesa hilo lipo ndani ya uwezo wa mtu either kuamua kuzitafuta au kutozitafuta hivyo swala la shepu?matiti mazuri lipo nje ya uwezo wa mtu...
Mke halali ndo anaetakiwa kuhudumiwa sio hawala,mpenzi au girlfriend mtu aliewekwa ndani na mwanaume ndo anaestahili kuhudumiwa tofauti na hapo ni fadhila tu mtu anapewa ili aweze kua na mtu huyo ndo maana unaona mwanamke akiachwa kinachomuuma sana ni kuzikosa zile huduma alizokua akipewa sio mapenzi au nini ni huduma i.e. kulipiwa kodi, hela za shopping etc
Ndo usiwachukulie serious....Ukimnunulia gari...kuna mtu anamsugu Kucha na chupi atamvua.
Utamnunulia peruvian hair ya millioni kuna msela anamnunulia mafuta ya buku 5 na atamvua chupi.
Hawajui Nini wanataka Maishani. Anaweza kutoka anaenda kununua viatu akarudi kanunua bangili (tena Mbayaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] )
Correction: ADAM HAKUPEWA ADHABU (ILILAANIWA ARDHI BADALA YAKE)
NYOKA NA MWANAMKE NDO WALIPEWA ADHABU
NYOKA KUKUDANGANYA SIO SABABU NA WEWE USIWE CHANZO CHA MAASI MAANA UNGEWEZA KUKATAA.....HUJIULIZI WHY HUYO NYOKA HAKUMFUATA ADAM NA WAKATI ADAM ALIKUWEPO KITAMBO HAPO BUSTANINI.