Ernest Nestory
Member
- Oct 30, 2018
- 11
- 1
Duh!! Mungu hakupi vyote,, mwenye hela nying,, nguvu za kiume sifuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi matamu ni yale ya kusaidianaaaa majukumu.....
Kubeba mishkaki Kwa bodaboda haiepukiki..........[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Boya ni wewe unaelialia njaa kwenye matumizi madogo madogo kama hayo, kaa pembeni watafutaji tufanye yetuacha uboya mkuu utachunwa mwisho wa siku unakumbuka shuka wakati kuna kucha
njoo ulale bhn,achana nao.
Khe oneni ajabu hii yaani ukiwa malaya ndiyo haupati ukimwi ila ukiwa na mmoja ndiyo unapata? Hivi wanaume mmetuona wanawake mapoyoyo sana kwamba tunaweza tukaamini kila sababu mnazotoa kutetea umalaya wenu?
Kuweni kama wanawake wanaofanya kimya kimya huku wakijua kabisa kuwa ni kosa kuliko ninyi wanaume mnaojua kabisa mnafanya kosa halafu mnapata na ujasiri wa kujitetea kubalini tu kwamba ni kosa msitafute sababu za kujitetea ambazo hata mtoto mdogo anaona kabisa ni za kijinga
YeahKusaidiana majukumu yepi?
Kubeba mishikaki ni kwa jinsia zote au?
Don't you trust ya baby ?You say that here but in your heart you support him
Sasa mbona hamuyaongelei kutwa kuyaongelea ya wanawake tu?
kumbe Mungu ndio yuko responsible kwa namna dunia ilivyo hivi sasa!! nielimishe zaidiSasa inawezekanaje? Kama Mungu aliyetuumba karuhusu iwe hivi wewe binadamu ni nani unayepinga iwe tofauti?
Na hiki nini ulichokiandika? kuna mahali nimesema kuwa wanawake pekee ndio wanapaswa kuwa decent!? hebu wacha kunilisha maneno wewe mwana mama tatizo unanisoma halafu una interpret unavyojua wewe ipo tabu hapoHalafu na kwanini unataka wanawake tu ndiyo wawe decent? Kwani na wanaume wakiwa decent dunia haitakuwa sehemu salama kuishi?
Sawa Tomaso
Dada yangu hiyo data nilipewa na researcher wa center for aids research in africa pale university of pretoria. Alisema ni kwamba tuu society na governments haziwaruhusu kusema huo ukweli but reality ni kwamba u have greater chance ya kupat hiv kuyoma kwa spouse wako kuliko malaya.
Wanandoa wakicheat hawagumii kinga wewe ila mzeya nikienda kwa malaya condom must sasa wee jidanganye kuwa mumewe akichoropoka anayumia kinga ndio utakuja kulia kwa choo.
Yeah
Men cheat
Women cheat
Love is full of cheating.
Don't you trust ya baby ?
Hayo ya wanaume Yaongelee wewe!! umezuiliwa? na kwanini lazima tuyaongelee sisi?
kumbe Mungu ndio yuko responsible kwa namna dunia ilivyo hivi sasa!! nielimishe zaidi
Na hiki nini ulichokiandika? kuna mahali nimesema kuwa wanawake pekee ndio wanapaswa kuwa decent!? hebu wacha kunilisha maneno wewe mwana mama tatizo unanisoma halafu una interpret unavyojua wewe ipo tabu hapo
Ha ha ha ha ha ha ha...(nacheka kigiriki)Usitupangie matumizi ya pesa zetu sisi wenye nazo, kama ni umasikini ni wa kwako na familia yako, acha tutumbue hela zetu , ohoo ngoja nipokee sim ya shemeji yako nilimuagiza gari, ntarudi baadae
Tomaso (Thomas) aka Tomaso Mwenye Mashaka (The Doubting Thomas) alikuwa ni mmoja kati ya wale mitume 12 wa Yesu biblia inamuelezea kama mtu ambaye ni mgumu kuamini kitu cha kuambiwa tu hadi akishuhudie mwenyewendio nini? kumlazi nieleweshe kuhusu hili neno
Marrianah = Jeshi la Mtu mmoja, naona unakusanya kijiji kizima pekeyako eeeh...[emoji119] [emoji16]Tomaso (Thomas) aka Tomaso Mwenye Mashaka (The Doubting Thomas) alikuwa ni mmoja kati ya wale mitume 12 wa Yesu biblia inamuelezea kama mtu ambaye ni mgumu kuamini kitu cha kuambiwa tu hadi akishuhudie mwenyewe
Alipoambiwa Yesu kafufuka hakuamini hadi alipomuona kwa macho yake na kuona makovu ya vidonda alivyopata wakati anateswa ndipo akaamini wakati Yesu alishawaambia mitume wake wote kuwa atateswa atakufa atazikwa na siku ya tatu atafufuka na wenzie wote waliamini ila yeye hakuamini hadi alipomuona kafufuka na alipoona makovu yake sasa wewe ndiyo kama huyo
Sawa single mother.Kunguni wenzio wamekusikia