Mwanamke hawezi kukuheshimu kama hakuogopi

HIYO SASA INAKUWA nidhamu YA woga. Kinyume Chake NDIYO sahihi KWAMBA MKE HAWEZI kukuogopa KAMA anakuheshimu.

JITAHIDI ufanye bidii ya kuheshimiwa na si kuogopwa KWA SABABU kuogopwa KUNA madhara YAKE.

Still BORA mke mwenye nidhamu ya woga KULIKO ASIYEKUWA na nidhamu
 
Truth
 
Umeongea nadharia zaidi kuliko uhalisia. Uoga ni factor kubwa sana inayoleta heshima, na ninachokiongelea hapa sio uwe mkali au mnyanyasaji. Naongelea uwezo wa kuweka sheria na miongozo na kuakikisha inafuatwa.

Kwanini watu wanamtii na kumuheshimu Mungu? kwa sababu ya nguvu yake tulioambiwa anao na hukumu anayoitoa kwa ambao hawafuqti muongozo wake ambapo tumeambiwa kuna tanuli moto anawatumbukiza.

Chukulia mfano mafundisho yangetuambia Mungu ni mpenda demokrasia, karuhusu binadamu wafanye chochote wanachotaka na hatomuwajibisha yoyote kwa matendo yake. Unafikiri Mungu angeheshimika kama ilivyo?
 
Unajua kilichopelekea Adam na Hawa wakamkosea Mungu? Ilikuwa ni baada ya kuwa amewawekea sheria.
 
Sheria ndio zinawekwa kupandikiza uoga ili watu wawe na nidhamu, ndio maana kunakua na adhabu endapo ukivunja sheria.
NI kweli ila pia kwa upande mwingine sheria huwa zinaweka limitations. Ukishamuwekea mtu limitations, unamu-prompt kuzivuka hizo limits. Usipomuwekea, anaweza hata asiwe na wazo hilo

Mfano watoto waliokuwa wanapita kila siku jirani na nyumba iliyokuwa imepandwa maua mazuri wakiwa wanaenda shuleni, waliendelea kupita hapo kwa siku nyingi pasipo kuyachezea maua hayo

Baadaye mwenye nyumba alipata wazo kuwa ipo siku watoto hao watakija kuyachezea maua na akaamua kuweka tangazo llinaloagiza wasiyachezee maua.

Siku hiyo aliyoweka tangazo hilo ndiyo siku ya kwanza ambayo watoto hao walivchezea mua yake
 
Kwa namna zote mbili kuweka sheria ni mbinu bora zaidi kuleta utii kuliko kuacha kila mtu afanye vile anavyotaka
 
Mkuu kuna limitations na boundaries, ukimlimit mwanamke unakosea ila ukiweka mipaka ni sahihi kabisa na anatakiwa aiheshimu
 
Hutu tulamba lips, tuzee twa kuna mchongo nausikilizia bila kusahau wale wa shem mtu poa sana hatuwezi kuelewa chochote tuvipatie muda kidogo kama miaka kumi then vitakuja kuomba ushauri hapa vikiwa vimeshikilia boxa mkononi vikiwa vimekosa hata pa kubadilishìa maana wanawake wamewatimua kisa havilipi kodi..

Vitoto hivi ndivyo vinamendea wake za watu huku wenye mali wakiwa kwenye majukumu ya kusaka ugali
Vinawaza kulelewa vimethrow in the towel mapema sana..
Ukiviangalia bado ni vidogo lakini akili zao zimekata tamaa mapema..
Vinasema kazi ngumu haviwezi kuna mada nyingi naziona hapa vikiwa vinasema hata ukonda ni kazi ngumu nashangaa sana yaani..

Sasa vijana kama hao wataweza kumhandle mwanamke kweli?
Hao wanabaki kama fisi yaani wanavizia dead balls..ili wajisifu kuwa wanapendwa
Wakiachiwa hao wanawake jumla wanakuja humu kuomba ushauri kuwa wafanye nini ili Mzinzi mwenzake arudi kwa mumewe yaani inachekesha na kusikitisha kwa wakati mmoja..
 
Acha kuruka ruka hapa kwahiyo machinga wanashindwa nini kwenda kupanga vibanda mle Lugalo? Kama sio kuogopa? Heshima ya kweli ni ile inayojengwa kutokana na woga fullstop..
Usipake rangi sana kama wewe ni mkubwa sana kiumri basi itoshe kusema kuwa hata magoigoi huzeeka pia..

Huwezi kuheshimiwa kama huogopwi usitafute kujua chanzo cha heshima hiyo ila elewa kuwa heshima inatakiwa iwepo iwe kwa nguvu au mtutu..
Nikuulize swali mkuu
Unadhani ikiwa imebainika wazi kuwa una genge hatari la kimafia kuna mtu atacheza mbele yako kwa dharau??
Jibu ni hapana maana anajua kuwa akileta ujuaji kinachofuata ni kuzikwa so utaheshimika tu sasa haijalishi hiyo heshima imetokana na hofu ya watu juu yako but kinachotakiwa heshima iwepo tu basi sasa kuanza kuchunguza kuwa ipo kwaajili ya hofu sidhani kama inamakr sense bali ni wewe unaona hauko that strong kuconqure so unajificha kuwa mtu akupe heshima bila catalyst yoyote kiaje sasa yaani mwanamke aamke tu akupe heshima bila wewe kuset standards? Unapotea amka usingizini mzee..
Na kuwa mkubwa kiumri haimaanishi kuwa tukusikilize sana maana unaweza kuongea pumba ukidhani kisa umri basi haitajulikana kuwa ni pumba.. Pumba ni pumba itoke kwa mkubwa ama mtoto.
 
Halafu mkuu nilitegemea uielezee hiyo namna yake..sio kuishia kusema, halafu huwezi kuelezea ni namna gani mtu utapewa heshima.
 
Heshima na woga nisawa? Wewe unaweza kuwa unawaheshimu watoto wako lakini huwaogopi. Unaweza kumheshimu mke wako lakini kimsingi humuogopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…