Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani


Mkuu kwani ni vita? Ni kukwaa huru
 
Nkaushauri soma vitabu viwili (One Thousand and One nights} "Alf lela u lela" na "The perfumed Garden".

Ukisoma vitabu hivyo utaelewa kuwa mwanamke hawezi kukutii hata uwe mfalme unaemiliki kila kitu kama humchapi fimbo akachapika.
Umemaliza Kila kitu na ikibidi mjadala ungeishia hapa
 
Ni wanaume wajinga wanaowaza hivyo.
Mtu kufuata Pesa zako haimaanishi anakupenda.

Vijana watafute Pesa kwaajili ya Wake wanaowapenda. Wataiona Raha ya hii Dunia
Robert huwa sikubaliani na wewe kwa mambo mengi lakini kwa hili nakuunga mkono.

Kuna wanawake kama wawili hivi nimewala na ni wake za mabosi wenye pesa ndefu.

Aisee ukiona wanavyonitii utadhani nimewaloga.

Ma nikisikia wanavyoongea na waume zao inatisha sa a.

Mimi mwanamke akiongea kama wanavyoongea na waume zao kwa dharau ikiwa mimi ndio mume wake basi siku hiyo hiyo Ndoa haipo.

Kama mwanamke hakupendi hawezi kukutii kamwe..... Sana sana atakutafutia udhaifu wako akupuligie hapo hapi kama geresha tu
 
Nkaushauri soma vitabu viwili (One Thousand and One nights} "Alf lela u lela" na "The perfumed Garden".

Ukisoma vitabu hivyo utaelewa kuwa mwanamke hawezi kukutii hata uwe mfalme unaemiliki kila kitu kama humchapi fimbo akachapika.
Umalaya umeanza lini Faiza?
 
Biblia hiyohiyo inasema amri kuu ni upendo, kwa hiyo hiii haiwahusu wanawake sio?
Kila mtu ana haki ya kupenda na kupendwa kwenye mapenzi. Ni ngumu sana kuishi na mke au mume humpendi. Akuheshimu tu kwani umekuwa baba yake au mama yake, au boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…