mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Naunga mkono mada! Haswa kwenye aya hii๐๐พSi ungejikita tu kwenye mada lakini ๐
Yaani vile mwanamke anavyonyenyekea ndio anapenda. Ule ndio uanamke. Kujiliza, kujidekeza, kujiinamisha, kukutumikia, hayo wanayapenda sana lakini kamwe hawapendi kama sio kwa mtu sahihi.
Ooh safi sanaNaunga mkono mada! Haswa kwenye aya hii๐๐พ
Naunga mkono mada! Haswa kwenye aya hii๐๐พ
Sahihi kabisaUmenena true sio masihara ukishidwa kujifunza kwako jifunze kwa watu wengine
Hivi mkuu ni kweli kuwa umesoma chuo kikuu cha Toronto Canada?
Chuo mahiri sana kile.
View attachment 3669795
Aisee, hongera sana.Ni sahihi Mkuu
1. Kikawaida Mwanamke ana akili ndogo ? Huu ni utafiti au ni theory mkuu?
Kama ni utafiti ambatanisha hapa ulifanyika wapi
2. Wanawake wengi wana akili ndogo
Wenye akili ni wachache
Kwa vipimo gani mlipima akili mkapata hilo jibu
3.Kisaokorojia : Nitafatilia kuhusu hili
4. Ukiona Mwanamke anatumia akili sana wengi wao sio kwa kupenda ?
Ila ni kwasababu gani๐
Kwamba Tanzania na ukubwa wote hakunaga Nicola Tesla?
Si ungejikita tu kwenye mada lakini ๐
Aisee, hongera sana.
Kitu nachojua hamna MTU anaweza kumtii mwenzake kama hakuna kitu anapata au anatarajia .
Kinachomfanya mwanamke akutii ni zile expectations zake kwakoMamlaka ndio inatiiwa. Kwa kupenda au kutokupenda.
Unaweza usiwe na maslahi sehemu fulani ILa utatii tuu kama sehemu hiyo ina nguvu na mamlaka kukuzidi.
Ila huwezi tii amri kutoka chini
3 Kwahiyo wanawake wanaoshiriki mijadala migumu tuwaweke Kwenye kundi gani kaka?1. Ni kweli wanawake wengi wanaakili ndogo. Lakini lazima tujue Akili ndogo ikoje?
Akili ndogo ni ile inayowaza kwa kiwango kikubwa mambo ya kawaida au chini ya kawaida. Mambo ya kawaida ni yapi?
2. Hakuna kipimo cha Akili na Hisia.
Ila matokeo ya Akili na Hisia yanaweza kupimwa.
Wanawake wengi wanaakili ndogo kwa sababu wengi wao hawajihusishi na mambo yanayohitaji Akili nyingi na kubwa.
Kipimo cha Akili ni matokeo ya kile akili imefanya.
3. Unaweza fuatilia humu kwa kufanya tafiti zako.
Mathalani, jiulize kwa nini mada ngumu wanawake ni wachache ilhali jukwaani kuna uhuru wa kutoa maoni?
4. Ni kweli ukiona mwanamke anatumia akili kubwa ujue sio kwa kupenda.
Ni kwa sababu kisaikolojia wanawake hupenda kufanyiwa mambo. Wao ni wavivu. Na hawaoni aibu kufanyiwa mambo.
Ukiona Mwanamke anabeba jukumu la kifamilia au lolote ujue ni kwa sababu imemlazimu.
3 Kwahiyo wanawake wanaoshiriki mijadala migumu tuwaweke Kwenye kundi gani kaka?
4 hapa una mawazo ya kizamani
Saivi wanawake wengi wanafanya mambo mengi kwa sababu dunia yenyewe haitaki mtu wakupokea tu
Na sio kwamba zamani walikua hawafanyi
wamefanya sana kulima nk......
Kinachomfanya mwanamke akutii ni zile expectations zake kwako
Sawa kaka ๐ค3. Kusema wanaakili ndogo au za kawaida haimaanishi hakuna wachache wenye akili nyingi.
4. Dunia haitaki mtu wa kupokea sio kwa sababu ya uwezo wa Akili bali ni suala la HAKI.