Mwanamke hawezi kuwa mtiifu kwa Mwanaume Bwege, asiyejielewa.

Mwanamke hawezi kuwa mtiifu kwa Mwanaume Bwege, asiyejielewa.

1. Kikawaida Mwanamke ana akili ndogo ? Huu ni utafiti au ni theory mkuu?
Kama ni utafiti ambatanisha hapa ulifanyika wapi

2. Wanawake wengi wana akili ndogo
Wenye akili ni wachache
Kwa vipimo gani mlipima akili mkapata hilo jibu

3.Kisaokorojia : Nitafatilia kuhusu hili

4. Ukiona Mwanamke anatumia akili sana wengi wao sio kwa kupenda ?

Ila ni kwasababu gani👆
Katika vitu viliwahi gunduliwa hapa Duniani ni kipi kimegunduliwa na mwanamke,uliumbwa kuwa chini ya mtu hiyo-kwa tafsiri aliyekuumba ulikuwekea limit ya akili ili kuweza kuwa chini ya mtu
 
Nakubaliana na wewe lakini ilikuwaje akaolewa na bwege?
 
Katika vitu viliwahi gunduliwa hapa Duniani ni kipi kimegunduliwa na mwanamke,uliumbwa kuwa chini ya mtu hiyo-kwa tafsiri aliyekuumba ulikuwekea limit ya akili ili kuweza kuwa chini ya mtu
Kwahiyo mwanaume aisetumia akili yake vizuri ndio wa kufananisha na mwanamke?

Unajua nani alivumbua Wiper ya gari?
Mvumbuzi wa wiper ya gari ni Mary Anderson, mwanamke kutoka Marekani


Na pia wanawake wamekua sehemu ya team za uvumbuzi wa vitu vingi tu
 
Back
Top Bottom